King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,604
- 68,518
Nipo kwenye foleni naelekea Kimara 2mekwama hapa jangwani,nasikia amepata majeraha tu..Alikuwa kazini akiongoza magari.
Nipo kwenye foleni naelekea Kimara 2mekwama hapa jangwani,nasikia amepata majeraha tu..Alikuwa kazini akiongoza magari.
kuna mmoja alinikamata majuzi maeneo ya kibaha kwa kosa la overspeeding, nikampiga na 5000 moja alifurahi kupita maelezo. akaniambia nakutakia safari njema rafiki yangu wakati alikuja akiwa amenuna kinoma ghafla akawa rafiki yangu.Pole sana trafiki ajali kazini inshallah Mungu atakuafu ili uache kupiga mabao. Huenda waswahili uliowapiga mabao wameamua kukupiga bao kwa kutumia bodi. Askari wa bongo bwana kwa rushwa! Utadhani waligundua wao!
Gonga nguruwe hao, wanakera wote hao lao moja, kutusumbua na kuomba omba
Faini halali ni 30,000, watu
mnapoza kwa 2,000 au 5,000 mnalaumu. Lipeni 30,000 mpate risiti ingawa
pia inaweza kuwa fake.
Faini halali ni 30,000, watu mnapoza kwa 2,000 au 5,000 mnalaumu. Lipeni 30,000 mpate risiti ingawa pia inaweza kuwa fake.
Faini halali ni 30,000, watu mnapoza kwa 2,000 au 5,000 mnalaumu. Lipeni 30,000 mpate risiti ingawa pia inaweza kuwa fake.
kuna mmoja alinikamata majuzi maeneo ya kibaha kwa kosa la overspeeding, nikampiga na 5000 moja alifurahi kupita maelezo. akaniambia nakutakia safari njema rafiki yangu wakati alikuja akiwa amenuna kinoma ghafla akawa rafiki yangu.
acha wafe wanakera sana hasa wa migomigo na wale wa ubungo, wakishakula viroba vyao wanaita upande mmoja tu! unaweza kukaa kwenye foleni hadi ukachina, ni bora wangeacha mataa yafanye kazi sio hao wala viroba!
Gonga nguruwe hao, wanakera wote hao lao moja, kutusumbua na kuomba omba