Trafiki na kazi mpya stendi Mbalizi, Mbeya

matc

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
260
45
Jana nimepita stend ya mbalizi nikajifunza style ambayo trafiki wanakusanya sh 1000 kwa kuwatumia watoza ushuru ambao huwapa lisit madereva na kuchukua 1500 kwa madereva ambapo 500 huwa ni ushuru na 1000 huenda kwa matrafk.
My take Wizi huu mpk lini?
 
Back
Top Bottom