Trafiki barabara ya Kawawa mnazidisha foleni


uzeebusara

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
538
Likes
325
Points
80
uzeebusara

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
538 325 80
Wanajf kwa wale wanaotumia barabara ya Kawawa halu ni mbaya sana kwa sasa. Sijui barabara gani kwa sass inayoizid barabara hii kwa foleni. Kama unatokea Temeke foleni unaanza nayo pale Keko hapo utakaa hadi kufika taa za makutano ya brbr ya Nyerere na Kawawa hoi. Ukivuka tu hapo bado Karume then njia panda ya Kigogo ikimalizikia na Magomeni. Hawa trafiki binafsi naamini ndo imekuwa kero zaidi kwa nadhi ya maeneo yenye taa. Kipi bora Wanajf zitumike taa tu au hawa trafiki watumike.? Inashangaza masaa matatu unatumia kutoka Temeke hadi Sinza kila siku asubuhi na jioni masaa matatu. Nchi hii itaendelea kweli? Hapohapo bado vitega uchumi bado vije Dar mfano gesi!! Mwaonaje hl Wanajamii
 

Forum statistics

Threads 1,273,057
Members 490,259
Posts 30,469,138