Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

Taifa limetangazwa kutafunwa halafu unasema move on?Unajua athari za ufisadi katika individual level?Unaelewa hili tukio lingekuwa limetokea katika nchi zilizostaaribika sasa hivi Samia asingekuwa Rais?
 
Waacheni tu
Mnakomalia rushwa zao ndogo ndogo
Wakati kuna watu wanakula mabilion
Acha tu twende hivi hivi

Ova
 
Na wanajazana wengi kweli pale daraja la Mlalakuwa, kuna hadi vibinti vidogo vidogo hivi. Unawakuta asubuhi mapema watu wanawahi makazini wako busy pale kusimamisha simamasisha magari hovyo. Imagine saa kumi na mbili kweli unampiga mtu mkono na ndiyo kwanza anaenda kazini kutengeneza hiyo kodi inayokuja kulipa mshahara wake. Stupid
 
Kama Mimi konda natoa Buku 2 sisumbuliwi mpaka jioni? Shida yangu nini? Kapata 70,000 Kwa siku? Wala hainiumizi, nenda Kwenye kesi ya Mbowe ujue hela kiasi gani zinachezewa, wacha wale!
Unamlipa rushwa trafik halafu unaenda kuidai serikali uboreshwaj wa miundombinu, hivi unahisi huo si ubakaji?
 
Unamlipa rushwa trafik hlf unaenda kuidai serikali uboreshwaj wa miundombinu , hv unahisi huo si ubakaji ?

Unailipa serikali, halafu inaendesha Kesi inayonitia Aibu Kwa gharama Za kodi zangu!!!!!!!???????
 
Hawa ndugu zetu naona wametusoma, wameanza kuyazunguka magari kabla hawajachukua chao
 
Back
Top Bottom