Traffick Polisi Wanging'ombe kabla ya Igawa acheni kubambikia kesi madereva

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
1,714
2,000
Kabla ya kufika wanging'ombe , hili eneo lipo nyuma ya Igawa kuelekea Mbeya. Hapo kabla ya Wanging'ombe kuna speed limit ya 50 na matuta kadhaa. Hata iweje kwa gari ndogo huwezi kukimbia

Kinachofanyika sasa kuna askari anakaa nje speed limit area, anakupiga picha unapo anza kuspeedup baada ya kutoka kwenye 50. Lengo ni nini?

Wamenifanyia hivo juzi. I was driving 40km / h, funny enough they charged me for overspeeding at 57/km per hour. Hii ni speed niloanza nayo wakati nimemaliza eneo lenye speed restrictions

Nasikia mmewekewa malengo, but what you're doing is unprofessional
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,267
2,000
Kiukweli Askari Traffic wa barabara ya Mbeya ni WAKUDA sana! Sijui wamelishwa nini wale jamaa. Wenzao wa Iringa hawana hata shida. Ukimtoa kidogo tu unasepa zako.
 

sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
758
1,000
Pole sana mkuu.

Mwaka 2018 Niliwaachia leseni yangu hao jamaa ila ilikua ni baada ya igawa. Ilikua imebakiza miezi 3 ieksipaye.

Walianimbia nimeendesha 59km/h. Picha haioneshi kibao cha 50, nafikiri walipiga nyuma kabla ya kibao naposlow down kukifikia kibao.

Tulipigishana makelele, nimewaambia waniandikie notification hawataki, nimewapa ten hawataki. Nikawaacha na leseni. Kipindi hiyo hawakuwa na mashine za kubetishana.

Baada ya miezi 3 nikarenew leseni fresh tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom