Traffic wa mooroco anatukatia viuno jamani;folen ya kutokea mjini - moroco aiendi kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Mm jamani sijui kuna bibi yake kwenye upande wa pili yaani huyu mutu anakata tu viuno kuita upande mmoja
au ndio wah wanatoka kwa nyumba ndogo wamewapigia simu yaani kama atuko dunian jamani tumezima magari mpaka sasa
nahsi nalala kwenye gari..mlio namsaada embu wapgieni hawa mutu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom