Traffic report kuna fine kabla gari haijaingia nchini au kusajiliwa Tanzania

Hizi mada za wanao miliki mikoko....
Duhhhh kuna wakati roho inaumaga sana....
 
Haya mambo kwa kweli yanaumiza,

Mi siku moja nilipaki mkokoteni wangu wa maji pembeni ya barabara nikaenda kununua bajia kurudi sikuukuta ndo nikaambiwa umevutwa na breakdown.
 
Karipoti Polisi haraka kitengo cha trafiki.

Mwaka 2003/4 niliandika habari ya magari yenye namba zinazofanana kuonekana Dar, Mwanza na Kigoma.

Mwanzo aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Walipakodi, Mmanda alitoa matangazo katika magazeti kadhaa kukanisha habari yangu ila ilipothibitika ndipo ulianza mchakato wa kusajili namba za magari kwa kutumia namba moja nchi nzima inayoanza na T...

Imawezekana wameanza tena. Mwaka jana kuna kesi ilitokea Tabata mtu alikuwa anaendesha gari akaona gari jingine limepaki likiwa na namba za gari lake. Walipelekana polisi sijui iliishia wapi. Lifanyie kazi
 
Haya mambo kwa kweli yanaumiza,

Mi siku moja nilipaki mkokoteni wangu wa maji pembeni ya barabara nikaenda kununua bajia kurudi sikuukuta ndo nikaambiwa umevutwa na breakdown.
Duuu si walikupiga faini ndefu mkuu maana mkokoteni hauna sehemu ya kuufunga kwenye breakdown
 
Back
Top Bottom