Traffic Police, SUMATRA na Magari ya Sauli hapa Kibaha, kulikoni?

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wakuu,

Kuna shida gani na haya mabasi kila mara ni kupigwa mkono weka pembeni nusu saa au lisaa lizima.

Kama hamtaki wawe wanasafiri futeni vibali vya magari kama ndio hivyo, ni mambo yasio na maana.

Mnachelewesha abiria wasio kuwa na kosa lolote.

Asante
 
Dah nusu saa kubwa sana
Yaani kwa bus zinavyotoka akikuweka dk 8 tu mwenzio humpati tena
Hapo Sauli atzame competitor wake kuna jambo
Kilomanjaro, Newforce n.m
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom