Traffic Police daraja la Kigamboni na 'tochi' zao...

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,834
Siku hizi hawa wazee wa tochi wanavizia madereva wanaotoka Kigamboni kuja kurasini. Huwa wanakaa sehemu ya 30kph ambapo ukiwa unakuja si rahisi kuwaona kwani ni kwenye kona na mteremko. Maximum speed limit ni 60kph baadhi ya stretch kwenye hio njia.

Kwa design ya hili daraja na barabara zake sioni sababu ya juweka 30kph limit. Kwanza hamna sehemu mtembea kwa miguu anaruhusiwa kuvuka(wanavuka kwa kuvunja sheria) sasa hii 25/30kph limit ya nini?

Kusema ukweli asubuhi hawa traffic wanatupotezea muda tu! Madereva kuweni makini msije kuwa takwimu.
 
Back
Top Bottom