Traffic Police Commercial Bank, the third most profitable bank after NMB and CRDB!

Kulazimisha lugha usiyoimudu.
Tuvumiliane mkuu, ndio improvement inavyokuja hivyo. Huwa inakuja kwa kujaribu hata ukikosea. Ukikaa kimya kinaisha karibu chote. Na si unajua tena watanzania tunatakiwa tupate exposure maana tumekuwa watu wa kukaa ndani sana kama kuku wa nyama na ndio maana tuna baadhi ya matatizo. Sasa international exposure bila kiingereza ni shida. Tunahitaji kuondoa ushamba.
 
Fuata sheria wewe uone kama utapigwa fine
Usikomenti kama huishi Tz. makosa mengi niyakutafutiza. Wengi wao wanakuwa wamepewa Target na maboss wao hivyo lazima akomae afikishe lengo la mkubwa. Na jambo jingine magari mengi niya wananchi wa kawaida ambao wanaungaunga tu hivyo unakuta gari zao zina mapungufu ya hapa na pale. Kwa mfano unakuta kioo cha gari kime crack tu kidogo faini. Tairi umeweka Limeanza kuonesha kipara faini. Yaani kwa kifupi makosa mengine niya kumuonya dereva lakini wao wanakomaa na faini tu.
 
Hata ukifuata sheria utakandamizwa tu. Hivi majuzi nilisimamishwa na traffic. Baada ya kukagua kwa dk 10 na kukuta kila kitu kiko sawa, ghafla akasema leather ya seat yako imechanika! Nikaandikiwa faini ya elf 30. Baada ku-protest akasema kama unaona umeonewa twende kituoni. Nilikuwa Nina haraka nikaona uchukue tu ile ticket ya fine.!
Duh! Pole sana mkuu
 
Nilisema mahali flan leo; Kuendesha gari Tz sasa hivi, Km 100 inakupotezea afya yako kilo 10. Kwenda na kurudi utakuwa umekonda kuliko kutemea kwa miguu hizo km 100.
Kila polisi awe trafic awe ffu utakayekutana naye anakuchunguza kuliko anapokutana na jambazi sugu. Hakuna namna akose cha kukusumbua nacho. Unasimamishwa mara 10 ndio unafika nyumbani. The question is; Why, accidents are rising and they are so deadly kuliko huko tulikotoka?? Kama kweli wamekuwa ni Usalama wa barabara, mbona sasa tunapukutishwa hivyo na hayo hayo magari waliyochunguza na kupigafaini?? Mlichunguza nini?
 
Ni sis wenyewe tulipiga kelele kuwa trafic wawe wanatumia mashine badala ya vile vitabu , na hoja ilikuwa kwamba askari hao walikuwa wanatafauna fedha hizo, sasa kilio kimesikika , tumeletewa mashine za TRA na fedha zinaingia moja kwa moja serikalini tunalia tena?
Ivi umesoma unaelewa mtoa mada analalamikia nini? Au umekomenti tu unachojiskia?
 
Ninamuomba gavana wa BOT aisajili benki hii ili benki kuu waweze kuisimamia (TPC Bank plc)!
Charging you a bill of 30,000 they will take an interest of another 30,000 just within a month. Mind you, even the loan sharks wouldn't charge an interest of 100% for a month. They would charge a maximum of 30% within a month.
So this is a bank where with a loan book of 9Bilion, they would create an interest income of another 9Bilion within a month. Potentially this is a bank which can create a principal of 100Bilion per year together with an interest of another 72B within a yr, out of a thin air. They create something out of nothing!
This is a corporate greed of a highest degree and no any gvt in a World which likes it citizen can do this, believe me. This is something you can not do even to your worst enemy...
At this interest rate, the citizens who owns vehicles as a means to easy transport are punished and tormented in their own country, at a level which is far above the sinners in hell.
That is fine mkuu not Bank or Financial Institution and it was passed by our Parliament. It was meant for criminals like you who do not obey the country's laws. Please dont commit crimes then you will be safe!
 
That is fine mkuu not Bank or Financial Institution and it was passed by our Parliament. It was meant for criminals like you who do not obey the country's laws. Please dont commit crimes then you will be safe!
With your poor english, supporting thé hypocris. Mfyuu
 
Back
Top Bottom