Traffic kuweni makini mnapokuwa kazini.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Hivi majuzi kule mkoani singida maeneo ya kibaoni barabara ya kuelekea dodoma kuliibuka kikundi cha wahuni wakiwa katika bajaji moja .

Kikundi hiki kilimkuta traffic mmoja kwenye maeneo hayo akiwa ktk kazi na kumchukua kwa nguvu na kumfunga kamba kisha kutokomea nae kuelekea ziwa kindai lililopo hapo singida mjini.

Kufuatia tukio hilo ndipo watu wakaanza kuifuatilia bajaji hiyo kuelekea ziwa kindai huku polisi wakiwa tayari informed.

Kikundi hiki cha wahuni kilipofika ziwani kilianza process ya kumtupia ziwani traffic, mara paap askari hao wakawa wamefika maeneo hayo.

Ndipo vijana hao wakatokomea kusikojulikana.

Lakini pia inasemekana hapo singida kuna kikundi cha vijana wa kiume huvaa nguo za kike ( hijab) kwa lengo la kutekeleza uhalifu mkoani humo.

Hivyo jeshi la polisi kuweni makini na vijana hawa wahuni ambao wanataka kutuletea mabaraa kwenye nchi yetu.
 
Hao watu wa singida akili hawana...... Yaan Trafiki katekwa nyie badala ya kufanya shughuli zenu.... Eti mnaenda kumfatilia...... Ndo maana mnakufa kwa dhiki kwa kukosa akili...... Trafiki na polisi ni watu hao
Mmoja wao kamuoa Dada yako huko matombo.
 
Yaah....... Baba Mtakatifu si mnafiki .....Anapenda kusema ukweli...... Kwe A anasema A, tofauti na kina paul wa pili, Kwenye A anaweza Sema a ili kupunguza ukali na kumwogopa mungu
Hatari kinoma. Usilipe baya kwa baya
 
Acha umbea

Back
Top Bottom