Traffic Dodoma mnatesa raia kwa Ushamba wa misafara

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,064
2,189
Unakuta mnasimamishwa barabarani mnasubiri msafara saa nzima na Zaidi. Je, Hamna mawasiliano na wanaohusika kuendesha misafara ya viongozi?

Haiwezekani mtuweke mabarabarani, tunashindwa kuendelea na Majukumu ya kujenga nchi.

Yaani mtu mmoja anasimamisha shughuli za watu wengi.

Mnajua hasara isababishwayo na huo muda wa kusubiri?.
 
Waheshimiwa ndiyo yaliyo matakwa yao.

Ndiyo maana kodi na tozo haziwahusu.
 
Siku wakija kuwauliza kwanini kazi haziendi muwajibu "sababu ya misafara ya mara kwa mara ya viongozi"
 
ueledi kwa traffic wetu bado ni changamoto, pia pengine wao wanafurahi kuona watu wanapanga foleni kusubiria mtu mmoja apite
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom