Traffic asimamisha baiskeli (X-mas iyoo)

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
f5b02fe3ca17bf30180d728f9c1c689d.jpg
 
Polisi wa usalama barabarani Tanzania hawavai hivyo (hiyo kofia na suruali yenye mifuko fuko) hata kama askari usalama barabarani wanaruhusiwa kumkamata mtu yoyote anaye vunja sheria za usalama barabarani kwa taarifa yako fine ni shilingi elfu tano kwa vyombo visivyo vya moto rejea road traffic act
 
Mmmmmh na ww utakuwa traffic
 
Mkuu;
Unajua kuona vizuri. Hao ni futuhi wanawatonya trafiki kuwa wafanye kazi zao vizuri. Ubebaji wa mizigo kihivyo ni hatari si tu kwa mwendesha baiskeli bali hata kwa watumiaji wengine wa barabara kwani nikiwa namkwepa kwa gari itabidi nipitie upande mwingine wa barabara.
 
Kumpita mwendesha baiskeli mwenye tenga la madafu nayo kazi...inabidi uwe makini sana.
 
Polisi wa usalama barabarani Tanzania hawavai hivyo (hiyo kofia na suruali yenye mifuko fuko) hata kama askari usalama barabarani wanaruhusiwa kumkamata mtu yoyote anaye vunja sheria za usalama barabarani kwa taarifa yako fine ni shilingi elfu tano kwa vyombo visivyo vya moto rejea road traffic act
Utawajua tu
 
Back
Top Bottom