Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Mmmmmh na ww utakuwa trafficPolisi wa usalama barabarani Tanzania hawavai hivyo (hiyo kofia na suruali yenye mifuko fuko) hata kama askari usalama barabarani wanaruhusiwa kumkamata mtu yoyote anaye vunja sheria za usalama barabarani kwa taarifa yako fine ni shilingi elfu tano kwa vyombo visivyo vya moto rejea road traffic act
Polisi wa usalama barabarani Tanzania hawavai hivyo (hiyo kofia na suruali yenye mifuko fuko) hata kama askari usalama barabarani wanaruhusiwa kumkamata mtu yoyote anaye vunja sheria za usalama barabarani kwa taarifa yako fine ni shilingi elfu tano kwa vyombo visivyo vya moto rejea road traffic act
Kumpita mwendesha baiskeli mwenye tenga la madafu nayo kazi...inabidi uwe makini sana.Mkuu;
Unajua kuona vizuri. Hao ni futuhi wanawatonya trafiki kuwa wafanye kazi zao vizuri. Ubebaji wa mizigo kihivyo ni hatari si tu kwa mwendesha baiskeli bali hata kwa watumiaji wengine wa barabara kwani nikiwa namkwepa kwa gari itabidi nipitie upande mwingine wa barabara.
Sio trafic ni raia tu huwa ninapenda kupekua pekua makbrasha cha ajabu traffic wengi hawazijui hizo sheriaMmmmmh na ww utakuwa traffic
Utawajua tuPolisi wa usalama barabarani Tanzania hawavai hivyo (hiyo kofia na suruali yenye mifuko fuko) hata kama askari usalama barabarani wanaruhusiwa kumkamata mtu yoyote anaye vunja sheria za usalama barabarani kwa taarifa yako fine ni shilingi elfu tano kwa vyombo visivyo vya moto rejea road traffic act