Tracing Macbook apple

tzbuddy

Member
Mar 12, 2014
33
49
Hello Wajameni,
Kuna kibaka kaniibia Macbook yangu,kama Kuna mtu anaweza kuitrace ikapatikana,basi zawadi nono ipo,watu wa IT wachangamkie ajira hii.Come inbox
 
Uliweka iCloud na Find my mac kwenye hiyo machine kabla haijaibwa?
 
Kamaa haukuweka hakuna jinsi ya kuitrack kama uliweka nenda iCloud.com kisha login, kama uliweka I'm sure kutakuwa na emails kutoka apple kwenye email account yako ulipo signup icloud.
 
Kama Kuna mtu ni mbaya wa IT,natoa ajira ya kuitafuta Macbook yangu ilioibiwa.Kama uko serious njoo Inbox
 
kaka kama huku sign up kwa icloud account kwa iyo mac...sahau mkuu kiroho safi
 
Hakuna anayeweza kukutaftia hapa. Fanya hivi. Nenda pale posta mpya kuna ghorofa refu kuna washkaji hapo i think ni forth floor. Ni wabaya sana. Just wape mac address ya hiyo mashine yako akiingia kwenye internet tu kaisha
 
Hakuna anayeweza kukutaftia hapa. Fanya hivi. Nenda pale posta mpya kuna ghorofa refu kuna washkaji hapo i think ni forth floor. Ni wabaya sana. Just wape mac address ya hiyo mashine yako akiingia kwenye internet tu kaisha
Unaweza kunipa more info ya hiyo ofisi ili niweze kwenda
 
Ama watakudai kitu kingine but kwa mtazamo wangu mac address ndo mwisho wa matatizo
 
Kirefu ni media access control inasaidia wakati wa kuwasiliana kwenye network ili kutofautisha kati ya computer na computer
 
Mkuu hapo solution ni kutumia icloud website kuitrace. Huyo mwizi akiitumia tu kwenye Internet kaumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom