Tracing if the document has been copied

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
109
Habari za asubuhi wandugu,
Nafanya kazi kama Computer System Analyst,

Just few minutes nimesoma memo, My boss want me to trace kama kuna mtu ame copy document from his flash Disk. Amenipatia hiyo flash so that Ni analyse and nimweleze ni document ipi and how many times has it copied by unknown person.

Please guys im stack, Any help will be appreciated.
 
Breaking News???????????????

Not to JF!

Boss wako kwani hiyo flash disk anai-share na mtu au is just out of curiosity! Sikumbuki vizuri kama kwenye "course" za "Security" kuna topic inayogusia that area in particular!

Ku-determine how may times contents saved on external storage or media has been accessed and by who!!!?
 
Habari za asubuhi wandugu,
Nafanya kazi kama Computer System Analyst,

Just few minutes nimesoma memo, My boss want me to trace kama kuna mtu ame copy document from his flash Disk. Amenipatia hiyo flash so that Ni analyse and nimweleze ni document ipi and how many times has it copied by unknown person.

Please guys im stack, Any help will be appreciated.

Na wewe copy files zote..........! Huyo bosi wako nae hayuko serious......tungempeleka kwenye mambo ya kikubwa nadhani pia angeuliza walipita wangapi!
 
Kwetuni kwetu, Baba Enock & rest of Members,
Mniwie radhi wa kutokuwa sahihi (that being a break news).
Pili asanteni kwa majibu cause nimeelewa kuwa si kitu rahisi sana kujua kama documents zime kuwa copied kwenye flash...........is out of curiosity anadhani kuna mtu ame copy, sitegemei kama ana-share flash disk yake.........

Ikitokea mtu ana msaada zaidi (about the tracing) utanisaidia kuongeza uelewa.
 
Mwambie boss wako kuwa, mtu akikopy document kutoka kwenye flash yako kwa ku-hilight na kuchukua, si rahisi kugundua. Hata hivyo kama atafungua file na kuli-copy kwenda kwake na BAADAYE kuli-save kwenye flash yako utajua kama unatambua kwa kuangalia tarehe na saa kama mara ya MWISHO ulipo-save ulimark tarehe na muda. Kwa ujumla kazi aliyokupa ni ngumu, na hutapata jibu kiurahisi. Na wewe muulize, unapopanda ndege kwenda Ulaya unaweza tambua ni nani kwa mara ya mwisho alikalia kiti ulichokalia! Dawa ya moto ni moto!!! Kabla ya kumuuliza jiulize na upime consequence zake!!!
 
Kwetuni kwetu, Baba Enock & rest of Members,
Mniwie radhi wa kutokuwa sahihi (that being a break news).
Pili asanteni kwa majibu cause nimeelewa kuwa si kitu rahisi sana kujua kama documents zime kuwa copied kwenye flash...........is out of curiosity anadhani kuna mtu ame copy, sitegemei kama ana-share flash disk yake.........

Ikitokea mtu ana msaada zaidi (about the tracing) utanisaidia kuongeza uelewa.

Poa mkuu...ila na wewe copy vilivyomo! Usiache flush irudi hivi hivi
 
Habari za asubuhi wandugu,
Nafanya kazi kama Computer System Analyst,

Just few minutes nimesoma memo, My boss want me to trace kama kuna mtu ame copy document from his flash Disk. Amenipatia hiyo flash so that Ni analyse and nimweleze ni document ipi and how many times has it copied by unknown person.

Please guys im stack, Any help will be appreciated.

Ina maana siku hizi nikikupa kazi za kiofisi unazipeleka JF nakuziita "habari zilizovunjwa/vunjika"? Tafadhali njoo ofisini na hio flash haraka.

Kwetuni kwetu, Baba Enock & rest of Members,
Mniwie radhi wa kutokuwa sahihi (that being a break news).
Pili asanteni kwa majibu cause nimeelewa kuwa si kitu rahisi sana kujua kama documents zime kuwa copied kwenye flash...........is out of curiosity anadhani kuna mtu ame copy, sitegemei kama ana-share flash disk yake.........

Ikitokea mtu ana msaada zaidi (about the tracing) utanisaidia kuongeza uelewa.

Kumbe kazi huwezi unategemea msaada?
 
TAFUTA PROGRAMU MOJA INAITWA USB Trace hiyo itaweza kukufanyia kazi hiyo pia unaweza kuamua kulock Port za komputa husika - Kama uko Dsm nicheki PM nikupe mchana huu
 
Habari za asubuhi wandugu,
Nafanya kazi kama Computer System Analyst,

Just few minutes nimesoma memo, My boss want me to trace kama kuna mtu ame copy document from his flash Disk. Amenipatia hiyo flash so that Ni analyse and nimweleze ni document ipi and how many times has it copied by unknown person.

Please guys im stack, Any help will be appreciated.

mwambie haijakopiwa ipo intact mchezo kwisha, kwani anaitumia na nani? km ni confidence kihivyo mbona amekupa nawewe pia? si utaicopy au???!!
 
Huyu bosi wako anajua anachokisema au ndio anataka kukujaribu ay vipi maana naona itakuwa kazi ngumu kama hauna program ya kukuwezesha kujua hivyo
 
Du kaazi kwelikweli bosi anauza cheni bandia na wewe mpe hela bandia Jino kwa Jino
 
Ndugu zangu hivyo alivyosema yeye vinawezekana vyote bila shida yoyote ile , Kuna programu zinazowezesha kupatikana taarifa hizo na nyingine nyingi zaidi inachohitajika ni kujua tu unataka kufanya nini utumie programu gani na kwa wakati gani halafu je hilo jambo unalotaka kufanya ni legal au sio legal kwa sababu kuna ofisi zina utaratibu wake wa kiofisi kama ni ofisi ya ummah huyo bosi kwa mfano hawezi kulazimisha hivyo ofisi zote za ummah zina taratibu zake za kufuata kabla ya kuamua kuingia kwenye shuguli hiyo
 
TAFUTA PROGRAMU MOJA INAITWA USB Trace hiyo itaweza kukufanyia kazi hiyo pia unaweza kuamua kulock Port za komputa husika - Kama uko Dsm nicheki PM nikupe mchana huu

USB Trace haiwezi kusaidia kupata "HISTORY"!

Hata Uki-install hiyo program bado BOSS wako ataendelea kuwa "pain-in-the-a.s.s" . Labda going forward - na ni lazima iwe deployed kwenye "WORKGROUP/DOMAIN" na siyo on a single node!

Mwambie BOSS - It is simply not possible! FULL STOP - Kama ni kuandaa CV yako anza sasa
 
Mkuu nadhani njia rahisi hapo ni kumueleza tu kwamba baada ya kucheck nimegundua hamna mtu aliye copy files zako zote zipo vile vile nadhani ataelewa tu hawezi kuuliza maswali mengi zaidi!!
 
Najaribu kucompile maelezo, then nitarudi na solution ambayo inaweza kusaidia ANGALAU kidogo, ila kwa muda huu, usiaccess hizo files za boss wako kwani nitajaribu tu kukuonyesha last access date (and time) inavyopatikana.
 
USB Trace haiwezi kusaidia kupata "HISTORY"!

Hata Uki-install hiyo program bado BOSS wako ataendelea kuwa "pain-in-the-a.s.s" . Labda going forward - na ni lazima iwe deployed kwenye "WORKGROUP/DOMAIN" na siyo on a single node!

Mwambie BOSS - It is simply not possible! FULL STOP - Kama ni kuandaa CV yako anza sasa

It is possible nimefanya hivyo mara nyingi kama huamini naweza kukuelekeza kwa client wangu mmoja ufike pale hizo komps haziko kwenye domain weka flash yako jaribu kufanya chochote na flash hiyo bila kutoa taarifa ficha flash au hdd utafuatwa na mtu aje kukueleza ulichofanya hivi vitu vinawezekana tatizo ni kwamba kila sehemu ya kazi ina utaratibu wake wa kazi na privacy za watu ni kitu kikubwa sana
 
Fungua flash. Go to View > Details . Yatajipanga mafaili na mafolder. Right-click juu ya row ya Name. Utakuta baadhi ya options ziko checked (zimewekewa alama ya vema) kama vile Size, Type, Date Modified etc (PICHA A). Nakushauri uondoe hiyo check kwa zote ubaki na Name tu (PICHA B). Baada ya hapo nenda chini utakuta option ya More... Click hapo kwenye More na utapata PICHA C. Utakapopata hiyo check (weka vema) katika kibox cha Date Accessed, then OK. Mafaili yatajipanga na kuonyesha tarehe yaliyoguswa (accessed). Bosi wako akueleze yeye aliya access lini ili uone file lenye tarehe tofauti na ya bosi wako.
ASSUMPTION: Ninaassume unatumia Windows OS, na pia hakuna aliyeyafaccess mafaili baada ya flash kupatikana kutoka kwa "mwizi" wenu. Hii sio 100% solution, ni yangu tu na wengine pia mnakaribishwa.

picture.php
 
Ina maana siku hizi nikikupa kazi za kiofisi unazipeleka JF nakuziita "habari zilizovunjwa/vunjika"? Tafadhali njoo ofisini na hio flash haraka.
h.a,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,teh teh yaani nilikua nawaza

hivyohivyo kama bosi wake kahisi mtu kacopy mafile halafu kayaleta JF

Kumbe kazi huwezi unategemea msaada?

huyu jamaa hafai bosi mtimue niajiri mimi.:D
 
Fungua flash. Go to View > Details . Yatajipanga mafaili na mafolder. Right-click juu ya row ya Name. Utakuta baadhi ya options ziko checked (zimewekewa alama ya vema) kama vile Size, Type, Date Modified etc (PICHA A). Nakushauri uondoe hiyo check kwa zote ubaki na Name tu (PICHA B). Baada ya hapo nenda chini utakuta option ya More... Click hapo kwenye More na utapata PICHA C. Utakapopata hiyo check (weka vema) katika kibox cha Date Accessed, then OK. Mafaili yatajipanga na kuonyesha tarehe yaliyoguswa (accessed). Bosi wako akueleze yeye aliya access lini ili uone file lenye tarehe tofauti na ya bosi wako.
ASSUMPTION: Ninaassume unatumia Windows OS, na pia hakuna aliyeyafaccess mafaili baada ya flash kupatikana kutoka kwa "mwizi" wenu. Hii sio 100% solution, ni yangu tu na wengine pia mnakaribishwa.

picture.php

Useful information!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom