TRA yaweka wazi makusanyo ya July - Novemba 2016

sechex

Member
Aug 24, 2016
84
39
Baada ya wadau kusubiri Makusanyo ya nchi yao kwa muda na maneno kuwa mengi sasa TRA wayaanika makusanyo kwenye website yao.. kwa sisi wapenda maendeleo na kufanya analysis za kiuchumi tembelea tovuti ya TRA then lete mambo.. kwa haraka haraka

Julai......Trlioni 1.05
Agosti... Trilioni 1.13
Septemba....... Trilioni 1.36
Oktoba.......... Trilioni 1.11
Novemba... Trilioni 1.07

Total ya miezi mitano tilioni 5 na nukta zake...

Perfomance: lengo VS makusanyo 93.13%....

Naomba mjadala ukitaka uwe mtamu tuwe na data za kutosha...
 
Kwani Gaudencia Kayombo keshatumbuliwa? Kwa nini asitumie press conference kutangaza mapato ya Novemba pekee kama kawaida yake! Hii ya kutumia website na kulundika pamoja wakati akijua wananchi wengi sana hawana access na internet inatia mashaka!!
 
Gaudencia Kayombo ni nani?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Baada ya wadau kusubiri Makusanyo ya nchi yao kwa muda na maneno kuwa mengi sasa TRA wayaanika makusanyo kwenye website yao.. kwa sisi wapenda maendeleo na kufanya analysis za kiuchumi tembelea tovuti ya TRA then lete mambo.. kwa haraka haraka

july......tilioni 1.05
august... tilioni 1.13
sept....... tilioni 1.36
oct.......... tilioni 1.11
novemb... tilioni 1.07

Total ya miezi mitano tilioni 5 na nukta zake...

Perfomance: lengo VS makusanyo 93.13%....

Naomba mjadala ukitaka uwe mtamu tuwe na data za kutosha...
December watafika 1.5T kwa kuwa ni mwisho wa mwaka
 
Ndugu asante kwa taarifa na mchanganuo....japo kwa kifupi. Hata mapato ya decemba watatangaza tu. pia sio lazma kuita press cha msingi taarifa zipatikana kwa mwananchi yeyote anaehitaji.
 
Baada ya wadau kusubiri Makusanyo ya nchi yao kwa muda na maneno kuwa mengi sasa TRA wayaanika makusanyo kwenye website yao.. kwa sisi wapenda maendeleo na kufanya analysis za kiuchumi tembelea tovuti ya TRA then lete mambo.. kwa haraka haraka

Julai......Trlioni 1.05
Agosti... Trilioni 1.13
Septemba....... Trilioni 1.36
Oktoba.......... Trilioni 1.11
Novemba... Trilioni 1.07

Total ya miezi mitano tilioni 5 na nukta zake...

Perfomance: lengo VS makusanyo 93.13%....

Naomba mjadala ukitaka uwe mtamu tuwe na data za kutosha...
Katuka makusanyo Property Tax ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom