TRA yaweka wazi makusanyo ya July - Novemba 2016

Hivi JpM anajua kuwa ameshamaliza one year.. Bado anakomaa na kukusanya kodi huku akiwa kasahau kutengeneza vyanzo..
Ajira
Viwanda hewa...
Anaweza kujikuta hata asimfikie JK kwa viwanda

Hakuna Rais yeyote wa kabla ya Jakaya aliyemfikia Jakaya kwa lolote na hadi hii leo bado Jakaya anashikilia rekodi adhyim katika kila nyanja.
 
Hakuna Rais yeyote wa kabla ya Jakaya aliyemfikia Jakaya kwa lolote na hadi hii leo bado Jakaya anashikilia rekodi adhyim katika kila nyanja.
Kabla ya Jakaya?
Hadi hii leo?

Unganisha tu twende sambamba
 
january itakua ni 850 billions, i swear mpaka kodi ya kichwa itarudi wallahi
 
Back
Top Bottom