Lenatuschacha
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 156
- 36
TRA Yavuka Lengo la Makusanyo Kwa Asilimia 101 TRA Yavuka Lengo la Makusanyo Kwa Asilimia 101 | MPEKUZI
Hii habari nzuri hivi hautapata wachangiaji, ibadili iwe kimajungu kidogo utaona watakavyotiririka.
Huko nyuma malimbikizo hayakuwepo??????Kaka sasa hivi mapato lazima yawe juu sababu wanakusanya na Malimbikizo (arrears) ndio maana yanapanda kila siku.
Serikali ya sasa inafuatilia Malimbikizo. Ninacho maanisha wataendelea kuvuka malengo lakini itafika sehemu mapato yatakuwa stable . Malimbikizo yataisha unless kama watabuni vyanzo vingine vya mapato.Huko nyuma malimbikizo hayakuwepo??????
sawa kabisaSerikali ya sasa inafuatilia Malimbikizo. Ninacho maanisha wataendelea kuvuka malengo lakini itafika sehemu mapato yatakuwa stable . Malimbikizo yataisha unless kama watabuni vyanzo vingine vya mapato.