TRA ya Kitilya ni bogus

hint:

Misaada iliyotoka nje ya kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto imezuiwa na TRA ambao wanadai VAT....na hii ina include pampers etc

Something is seriously not right with Kitilya na TRA yake

kila kitu ni siri haijulikani VAT ni nini na nini na kila kitu kinafanyiwa estimates badala ya kuwa open kwenye website yao

pampers ndio nini wewe? Hebu sema diapers! Pia yaelekea huna taarifa za kutosha za hoja unayotaka watu wachangie.

Kitiliya ni waziri wa nini?au mbunge au diwani?au FISADI??simjui mfafanue huyo kitiliya

hint:

Misaada iliyotoka nje ya kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto imezuiwa na TRA ambao wanadai VAT....na hii ina include pampers etc

Something is seriously not right with Kitilya na TRA yake

kila kitu ni siri haijulikani VAT ni nini na nini na kila kitu kinafanyiwa estimates badala ya kuwa open kwenye website yao

Mkuu,
VAT imeelezwa kwa kirefu kwenye category ya FAQ (frequent Asked question) katika site ya businesstimes.com

Pamoja na kuwa na mapungufu yake lakini kwa unamuonea kitilya. Yeye ni kamishna mkuu anafuata sheria na kanuni zilizowekwa na bunge. Uingizaji wa bidhaa za misaada una taratibu zake. Anayetekeleza ni kamishna wa forodha sio kamishna mkuu. La maana ungetakiwa kuelemishwa kuhusu uingizaji wa bidhaa za misaada ukoje halafu uone kama umetekeleza kanuni zake.

Back
Top Bottom