TRA wanadanganya TIN number siyo bure. TRA Ferry wanachaji 110,000/-

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Wanajamvi salaam,

Tumekuwa tukitangaziwa na TRA kuwa TIN number ni bure kumbe ni uongo TRA ferry wamekuwa wakiwachaji watu wanaotaka Taxpayers Identification Number (TIN) kuna ndugu yangu wamemtoza 110000.

Je hii ni nchi nzima? Na kwanini TRA wadanganye umma? Kama ni kweli bure TRA Ferry wachukuliwe hatua kali za kisheria maana huu ni ubadhilifu.
 
Laki moja na kumi?Hamna kitu kama hicho.

Au ndo yule msukuma wa kwny tangazo la TRA khs TIN aliyeingizwa chaka ndo unamuongelea hapa mkuu?
 
Leo nimemtuma mtu aende nione kama naye watamtoza au yule walimwingiza mjini.
Lakini hata kama ni kumwingiza mjini kwanini wafanye hivi? Hii ni ishara ya kuwa wafanyakazi siyo waaminifu!
 
Kwani lile Tangazo si limeongelea khs vishoka?

Amepigwa na vishoka labda mkuu.
 
Kuna kitu wanakiita sijui % ya kodi ya pango la biashara yako etc. Ukienda kindezi ndo unapigwa hapo kabla ya kupewa TIN
 
Ngoja nifuatilie nijue mkuu hii haikubaliki haiwezekani hawa wafanyakazi wa TRA wakajitajirisha kwa kupitia mgongo wa walipa kodi masikini
 
Ngoja nifuatilie nijue mkuu hii haikubariki haiwezekani hawa wafanyakazi wa TRA wakajitajirisha kwa kupitia mgongo wa walipa kodi masikini
Muulize vizuri. Huenda alipewa form akajaza estimates za faida yake kwa mwaka na TRA wakapiga 30% ili kukata chao. Kama ingekuwa kaliwa na vishoka, asingepewa form za kwenda kulipa bank. Wanachojua wao ni kukusanya mapato tu regardless analipa mlipa kodi masikini au Bakhresa.:p
 
Analipaje kodi hata hiyo TIN ndiyo anaifuatilia na leseni bado hana na biashara bado haijaanza estimate anazitoa wapi?
 
Bure nazani kwa wale waliotimiza vigezo na masharti, Pamoja na kwamba ni Bure nazani hawagawi kama pipi , huenda kuna masharti ya kuzingatiwa!
Kama huna vigezo na huduma unaitaka Watakusaidiaje??????
kama huna vigezo kupigwa mbona mi naona ndo huwa shortcut
 
Vigezo tajwa wameviweka kwenye website yao, hivyo vigezo vya mfukoni ni vipi? Kama inalipiwa waweke wazi siyo mtu anatoka kwake akijua ni bure anafika ofisini mnampa namba ya benki hapana haikubaliki.

Nchi hii upigaji utaisha lini ? Tulidhani JPM atamaliza huu uozo wapi Dah so sad
 
Huwezi pewa tin ya biashara kama huanzi biashara, hapo huyo kalipia makadirio
Mkuu sitaki kubisha sana ngoja nifanye hii study jijue kulikoni wanamtoza kama amelipia makadirio itajulikana yaani hili nitalivalia njuga siwezi kukubali ndugu yangu kuliwa hela yake na wafanyakazi wa TRA wanajaza vitambi kama mitungi ya gesi
 
Wanajamvi salaam,

Tumekuwa tukitangaziwa na TRA kuwa TIN number ni bure kumbe ni uongo TRA ferry wamekuwa wakiwachaji watu wanaotaka Taxpayers Identification Number (TIN) kuna ndugu yangu wamemtoza 110000.

Je hii ni nchi nzima? Na kwanini TRA wadanganye umma? Kama ni kweli bure TRA Ferry wachukuliwe hatua kali za kisheria maana huu ni ubadhilifu.

Hizo ofisi zina cctv? ipo haja TRA kulifanyia kazi jambo hili ili kunawa hiyo kashfa
 
Wanajamvi salaam,

Tumekuwa tukitangaziwa na TRA kuwa TIN number ni bure kumbe ni uongo TRA ferry wamekuwa wakiwachaji watu wanaotaka Taxpayers Identification Number (TIN) kuna ndugu yangu wamemtoza 110000.

Je hii ni nchi nzima? Na kwanini TRA wadanganye umma? Kama ni kweli bure TRA Ferry wachukuliwe hatua kali za kisheria maana huu ni ubadhilifu.
Duu hata ulabu wa buku kumbe ilikuwa fix dume
 
Bure nazani kwa wale waliotimiza vigezo na masharti, Pamoja na kwamba ni Bure nazani hawagawi kama pipi , huenda kuna masharti ya kuzingatiwa!
Kama huna vigezo na huduma unaitaka Watakusaidiaje??????
kama huna vigezo kupigwa mbona mi naona ndo huwa shortcut
Taja vigezo
 
Taja vigezo
Screenshot_20180807-093825.png

Screenshot_20180807-093825.png
Screenshot_20180807-093920.png
 
Back
Top Bottom