TRA wameshaita ajira za January?

Kuna nyingine watu wamefanya usaili na kuitwa. Niliandika ule uzi ukang'olewa. Naomba nisirudie maana hata sababu ya kung'olewa uzi ule siufaham.
 
Hivi Tra wameshaita ajira za tax assistant na custom assistant?
hawa ndio watu manaoharibu uchumi wa nchii, ni vyema wasiajiri kwanza wapate mafunzo ya kodi yenye faida ndio waendelee na kazi
 
watu walifanya interview wameanza hadi kazi na mshahara wa pasaka wanakarbia kuchukua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom