TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

bado ubongo wako haujui tofauti ya serikali na wananchi

serikali ni tofauti na wananchi

Kwenye somo la Civics swali la Differences Between Government and Citizens hukufanyaga kweli?Ulipata sifuri nini?

Mimi nampenda mwananchi mwenzangu zaidi ya serikali

Infact sio kazi yangu kuipenda serikali,ni kazi yangu kumpenda mwananchi mwenzangu mwenye damu yangu na tunaishi pamoja huku mtaani

Serikali inawajibu wa kujifanyia kazi yenyewe,sio wajibu wangu kuisaidia kwa lolote maana hainilipi wala it is not for my interest wala my friend's interest.

Wewe kama unaipenda serikali ni wewe....bad news ni kwamba serikali haikupendi wala haikutambui wala haijui kiazi lipumbavu limoja linaitwa 4by94 huku duniani

Mimi nakutambua na tunaishi wote huku mtaani,nikikosa chumvi unanipa,nikiomba elfu moja unanipa,serikali haijui nakaa wapi

Leo serikali ikufuate itake kukuzamisha eti nikae upande wa serikali,hivi una malaria wewe maiti?

Go and re evaluate your brains again

acha uchochezi Serikali ni muhimili unasimamia maslai ya wananchi na unaundwa kwa matakwa ya wananchi , hatuez kukubaliana kuchangia kodi serikalini kwa maendeleo yetu halafu mtu mmoja kama wewe unataka kuleta ujanja ujanja kwa kutugawanya wananchi eti wananchi tusiunge mkono serikali yetu
 
Fuatilia uhalali wa hao staff kutoka TRA. Wako tapeli wengi wanajifanya TRA officers.
 
Unless mshakwaruzana nao before mahakamani mkapatikana na hatia ndio kampuni inatakiwa kutunza record zaidi ya miaka ya sheria; kutokana na kosa lenyewe.

Vinginevyo unatakiwa kuwa na records za muda unaotakiwa kuwanazo kisheria. Tena waje kwa adabu kama ni mlipa kodi mzuri polisi wasiingie ofisini hiyo sio raid na wala udaiwi; vinginevyo wafungulie ya matumizi mabaya ya sheria.
Tofautisha Tax Audit vs Tax Investigation
 
tii sheria bila kushurutishwa! Kuna mawili wanaweza wakawa wamekutoza kodi zaidi, huoni kama watakurudishia? Na kama umelipa kidogo utalipa balance pia! Usijaribu kuhonga! kulipa kodi stahiki ni jukumu na uzalendo mkuu!
Kwamba watawarudishia sio?Uliza wale wa VAT refunds Wana Hali gani?
 
Na wanaponunua hizo bidhaa awapewi risiti?

Business accounts inatumika vipi

Mambo ni mengi nikisema nioredheshe utaratibu wa huku kijijini kwetu.

Tax ni sheria na kila nchi ina zake naona tume chukua mambo kadhaa ya kidunia Ila ata applications zake kwetu lege lege.

Lakini uhalisia ukisema records keeping ni story ndefu, TRA awajafikia huko.

Niamini watanzania wakiambiwa utaratibu wa record keeping ya nchi za wenzetu kama Magufuli walimuona shetani mama watamuona mchawi.

Basically ukwepi kodi; hizi nchi za wenzetu unaweza punguza profit TAX na ata ukawadai serikali; lakini VAT ni mziki mwingine hiyo hela wanaitaka.

Sasa nikianza kuweka ivyo vielelezo vyao hapa atumalizi leo; ni vingi basically kukwepa VAT tax ni ugomvi mkubwa na hizi serikali za wenzetu.
Magu mwenyewe aligoma kabisa wafanyabiashara kupewa VAT refunds zao,majuzi Kati tu hapa Samia ndio ame refund Tsh.500bil na bado Kuna tsh.300bil bado zinadaiwa.
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
Hao wanataka rushwa vipi umewapa?
 
hujui kitu,
Mkuu asichokijua ni nin?Binafsi naamini kwamba kwenye swala la kodi lazima kuwe na ukomo wa ni muda gani kurudi nyuma kodi hukaguliwa na iwapo kuna ushahidi wa TAX fraud pia ni muda gani kurudi nyuma unapaswa kufuatiliwa.

Vile vile kuna jambo moja ambalo lazima lieleweke.TRA hawaji tu ofisini kwako na kudai records bila kuwa na basis,lazima kuwa na Basis ya kila jambo ikiwamo audit.Ndio maana hata wakikupa TAX clearance wanao uwezo wa kujankudai pungufu lakini lazima wawe na msingi wa hoja yao na wawe wazi.

Suala la kulipa kodi na kukusanya kodi halipaswi kuwa la kuviziana na kuwindana bali linapaswa kuwa la wazi kabisa kwa pande zote mbili.

Hata hivyo TRA yetu haina watumishi weledi na waaminifu bali wao huamka asubuhi na kuanza kutafuta mchawi na mapato hata kwa dhuluma na wizi.lazima tukatae mfumo wa kodi wa namna hio.

Kama sheria inasema ni 5 years basi akitaka zaidi ya 5 years lazima aseme sababu tena za msingi.
 
you know nothing about taxation
Mkuu,naona wewe ndo hujui chochote kuhusu Taxation na kutokujua.Kama unajua toa jibu ambalo liko wazi.Sheria inasema miaka 5 back?Je inatoa rooma ya kuzidisha miaka zaidi?Inatoa utaratibu wa kufanya katika kutaka kukagua records za miaka ya nyuma?Je ina ainisha wajibu na haki za mlipa kodi na wajibu na haki za afisa mkusanya kodi?
 
Kodi ni story ndefu and I am tired for now.

Ila kumbuka kodi Tanzania aijawahi lalamikiwa na wahindi wala wazungu; isipokuwa wabantu.

Hivi unajuwa Tanzania capital allowance ni 100% unajuwa maana yake kwenye kupunguza kodi na kushwawishi uwekezaji.

Niamini hawa watu awajazoea kulipa kodi; issue ni VAT na hapa kuna shida kwa wajasiriamali wadogo wadogo corner shop shouldn’t have to pay that.

Why so story ni ndefu na ni ujinga kuona TRA wanavyoangaika na frames. Hila kwa watu wenye mitaji mikubwa kukwepa kodi given capital allowance is 100%.

👋
Sasa Capital allowances kua 100% si Ni kawaida tu hio mkuu,kutegemeana na pool na pool na njia itayayotumika reducing/straight ndio itaamua miaka mingapi ya ahueni utapata.

Sijaona Kama Ni big deal maana hata wenzetu kwny capital allowances mwendo ni huo huo tu.
 
Mkuu asichokijua ni nin?Binafsi naamini kwamba kwenye swala la kodi lazima kuwe na ukomo wa ni muda gani kurudi nyuma kodi hukaguliwa na iwapo kuna ushahidi wa TAX fraud pia ni muda gani kurudi nyuma unapaswa kufuatiliwa.

Vile vile kuna jambo moja ambalo lazima lieleweke.TRA hawaji tu ofisini kwako na kudai records bila kuwa na basis,lazima kuwa na Basis ya kila jambo ikiwamo audit.Ndio maana hata wakikupa TAX clearance wanao uwezo wa kujankudai pungufu lakini lazima wawe na msingi wa hoja yao na wawe wazi.

Suala la kulipa kodi na kukusanya kodi halipaswi kuwa la kuviziana na kuwindana bali linapaswa kuwa la wazi kabisa kwa pande zote mbili.

Hata hivyo TRA yetu haina watumishi weledi na waaminifu bali wao huamka asubuhi na kuanza kutafuta mchawi na mapato hata kwa dhuluma na wizi.lazima tukatae mfumo wa kodi wa namna hio.

Kama sheria inasema ni 5 years basi akitaka zaidi ya 5 years lazima aseme sababu tena za msingi.
Tax investigation is different from tax audit, normally, when investigation is carried out into your tax affairs, there is enough evidences of tax evasion, either obtained from within or other stakeholders. Once there is suspicion of fraud, there is no time limit, the investigation scope becomes wider. Sijui unanielewa? Hapa hakuna kuviziana. weka kumbukumbu, produce them on demand basi.

Watanzania wengi hawapendi kujishughulisha kuyaelewa maswala ya kodi, ni ujuaji tu. someni sheria za kodi zipo kwenye mtandao wao.
Nakushauri next time unashida ya kikodi, do not seek advice from social media, tafuta a knowledgeable person or go to TRA uelekezwe. Kwenye social utakutana washauri vichefuchefu.
 
Sasa Capital allowances kua 100% si Ni kawaida tu hio mkuu,kutegemeana na pool na pool na njia itayayotumika reducing/straight ndio itaamua miaka mingapi ya ahueni utapata.

Sijaona Kama Ni big deal maana hata wenzetu kwny capital allowances mwendo ni huo huo tu.
Tofautisha capital allowance na depreciation.

In some instances capital allowances receive full investment re-claims from profits in one go, and not in chunks as in depreciation.

Tanzania sijaona maximum amount set to be claimed on capital allowances. Makes it very easy to abuse the tax system.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom