TRA Wakanusha taarifa zilizoandikwa JamiiForums kwamba Mtandao wao Unasumbua, Waziita uzushi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua.

Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake.

Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na Hitilafu yoyote.

TRA imewataka Waipa Kodi kuendelea kulipa kodi.

Zaidi, soma; Rais Samia ingilia kati, TRA watatukwamisha

1622196599614.png
 
Kuna Taarifa Kutoka TRA wakikanusha Uzushi Ulioletwa Hapa Jamii Forum Kuhusu Mtandao Wa TRA kutofanya Kazi Nchi Nzima.
Screenshot_20210528-125955.jpg
 
Naona taasisi inajielewa maana ingekaa kimya ilishakuwa doa. Kumbe ni uzushi tu. Au kuna mtu hataki lipa kodi au anatafutwa mtu kisingizio. Ila da wabongo sasa hivi kwa matango pori ukiamini unaweza ingizwa chaka hivi hivi.

Nilishangaa taasisi kubwa kama hii kweli iliyoaminiwa kukusnya mihela isifanye kazi maana hata masaa matatu tu ungeona moto wake.
 
Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahihi
 
Michadema ya JF ni wazushi hakuna mfano
Taasisi yenye kujielewa imeamua toa ukweli hongereni TRA kwa kuweka ukweli hadharani maana tungeshangaa kama ingekuwa kweli kwa tasisi kubwa kama hii. Nadhani kuna mtu alitaka wachafua au mchafua kiongozi wenu.
 
Hio iliandikwa na Jamii Forums au Member wa Jamii Forums ?

Kwa mtindo huu hata wale juzi waliomzushia kifo Kiongozi...., Kiongozi huyo angeweza kusema Facebook wamemsingizia kifo?
 
Poleni TRA, huenda mleta malalamiko amepotoshwa na clearing agent. Niliwahi mpa clearing agent hela alipie gari langu bandarini. Kwa muda wa wiki mbili alikuwa akinipiga kalenda kuwa mtandao unasumbua. Badaye alikuja kulitoa ila alikiri kuwa sehemu ya hela niliyompa alikuwa ameitumia kulipia kodi ya nyumba aliyopanga.
 
Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahihi
Hivi huu uongo mnaotunga mnapata faida gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom