TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

Duh kipindi changu cha matukio ndio baasi tena

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa mwenyekiti wa chama pinzani kafungiwa story ingekuwa,"kisasi" "chuki kwa matajiri" "yana mwisho".

This country buana,is very poor.-Mpoto
 
Habari wadau!

Nakumbuka wakati wa kampeni kuna mtu alimtangaza mbele ya hadhara kuwa rais akiingia madarakani amlinde Diallo kwani licha ya kuwa mwenyekiti wa chama mkoa alikisaidia chama chake kukitangaza kwenye redio na TV sijui ilikuwa bure au ndo kujikomba.

Cha ajabu baada ya RC wa Dsm kupigwa ban jamaa akamwalika na kumpa live coverage bila hata aibu ila akidhani kuwa ataachwa.

Sasa hii inaonyesha wazi kuwa wafanya biashara wengi wanajificha nyuma ya chama hiki wakiwa na malengo ovu kwa taifa kuanzia wanasiasa walio wafanyabiashara basi ni wazi wako kwa maslai maalum ila sio mapenzi yao.
Wanaumbua wenyewe baada ya biashara kugoma kitaa.
 
hii station ni ya kibashite kiaina ni bora ifungwe kabisa, ina uchama ndani yake pia huwa inatumika sometimes
 
heeee! makubwa hayo.
Kumbe zaidi ya kutokuwalipa watumishi wake mshahara kwa wakati bado alikuwa amelimbikiza kodi!
Ndio maana "mkulu" juzi alivyopita Mwanza walijidai yeye na wenzie kumfuata ikulu ndogo usiku waongee, yeye akawachomoa kuwa sijawaita hapa mie, nahitaji kupumzika!
Watu mna siri nzito!!
 
Safi sana, Nikikumbuka wakati wa kampeni hawa sahara,Na star TV pia inadaiwa ifungwe

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Hapa kuna jamaa anawindwa......ili kuonekana hajaonewa mtu kuwa hata wa nyumbani ameguswa. Na hili picha zima ni la kutengenezwa. Hakutakuwa na kesi wala malipo yoyote ya malimbikizo zaidi ya kumaliza sakata kisanii kama walivyolianzisha.
Inahitaji mtu mwenye akili ya ziada kuelewa MAIGIZO kama haya.

Sent from my SM-J710H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom