TRA waangalie pia kanisa Katoliki na mengine ambayo ni tajiri sana baada ya Kakobe

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Wana JF. Sheria ni msumeno. Kama matamshi ya Bishop Kakobe yamemletea haya yote ya TRA kuangalia mali za kanisa lake basi ni lazima ionekane wazi kuwa si msukumo wa KISIASA. Kwanza mimi sijakutana naye na simfahamu in person.

Once nchi yeyote ikianza kusumbua sumbua watu wa Makanisa {DINI} mara nyingi matokeo yake huwaga si mazuri. Tunajifunza toka history za tawala mbali mbali duniani zilizopitia kama kipimo.

Ila tu kama Askofu ama mtu wa dini yeyote AKITUKANA kiongozi wa nchi, hilo halikubaliki kabisa.
Lakini kutoa maoni hilo liko enshrined katika KATIBA yetu.Akifanya makosa kama hayo ya matusi basi itakuwa ni yeye mwenyewe kuubeba msalaba wake na si KANISA ZIMA. Na sheria ifuate mkondo wake.

Kwa mfano mimi nikisema " MIMI SIMPENDI RAIS MAGUFULI"
Je nitakuwa nimevunja sheria ipi?
Maana hata kama sitampenda HALITABADILI chochote maana bado yeye ni Rais wa JMTZ.
NIPENDE ama NISIPENDE.

Jamani twendeni taratibu tu. Watu na midomo ni wasemaji na wakati mwingine hupotoka.
Na sistahili KUKAMATWA kwa matamshi yangu.Maana najieleza na sijavunja sheria.

Serikali has to tread very carefully wakati inadili na mambo ya dini. UNLESS kuna UVUNJAJI mkubwa wa sheria na uhatarishaji wa Usalama wa nchi.

Bila MAOMBI ya watu DINI kuiombea serikali {TAIFA} iliyoko madarakani hamna serikali yeyote ile inayoweza kufanikiwa.

Mambo kama sijui Askofu fulani kasema nini kuhusu CCM ama katoa maoni kuhusu serikali ifanye hivi na hivi.... Hivyo ni vitu vidogo vidogo sana.
Jambo la busara ni kuziba masikio tu na kusonga mbele kama taifa.
Surely does it really matter????.

SI ACHA MTU aseme na amalize?
ataoe ya moyoni akimaliza ataenda kulala.Hamna haja ya kufuata fuata kila matamshi ya watu Ili mradi tu HAYANA uchochezi.

Mara nyingi mambo yanapoharibika katika nchi yeyote ile mara nyingi watu wa kwanza kukimbiliwa ni viongozi wa DINI huitwa ili huleta kutoa maoni na kupata SULUHISHO.

The government should not be seen as if it is victimizing KAKOBE for POLITICAL REASONS.
Basi kama ni TAX/USHURU basi zoezi hili liwe ENDELEVU baada ya KAKOBE.

Kanisa kama KATOLiKI lina Mali nyingi sana kama vile Mahospitali mashamba , Mashule MAHOSTELI nk. jE wanalipaga ushuru???.

Basi baada ya KAKOBE Kanisa KATOLIKI lifuate.
Na DINI zingine. And then we wait for the NEGATIVE outcome impact!!.

Serikali haitakiwi kuwa REACTIVE katika kila kajambo. Ni vizuri kuwa PROACTIVE la sivyo itakuwa ni nchi ya kamatakamata chunguza chunguza, peleleza, peleleza, Mambo yasiyo na umuhimu tukasahau ya muhimu.
Hatuwezi kuwa na selective justice hiyo si haki mbele za Mungu

Na kama ni kweli basi watamfuatilia naona tunaelekea pabaya. Maana hii itafungua kile Waingereza wanakiita Pandora box/Mambo yasiyohitajika kutajwa/ Complications nyingi zisizo na maana.

Nasema hivyo kwa sababu. Ikiwa TRA watafanya hivyo basi wakimaliza waende kwa kanisa KATOLIKI, na makanisa mengine yaliyo na mali nyingi sana ambayo haijulikani na serikali.

1. Kanisa Katoliki lina MIRADI ya BILLIONS Je TRA wamewahi kwenda kupata RETURNS zao za USHURU?
2. Hili jambo ni la kuhofia maana HAMNA DINI itakayopona once mchezo huu ukiruhusiwa uendelee.
Dini zimetoa huduma nyingi kwa jamii sana. Na matamshi ya Askofu yasionekane kama ni to settle scores because of a divergent political opinion/Mawazo tofauti ya kisiasa.
 
Braza stori zako zote ila usichanganye uendeshaji wa Kanisa Katoliki na hizo ministries (Kanisa ni moja tu!) ...Kanisa linapofanya biashara lina lipa kodi uzuri kabisa ....Kanisa halimilikiwi na mtu ....Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ....miaka zaidi ya 2000 ya uinjilishaji na bado ndio Kanisa pekee linaloishi unabii wa Yesu mwenyewe kwa kuendelea kuwepo kwa nguvu ile ile hadi sasa ....hutaki nenda pharmacy ulizia mseto ....then tafuta baa upate Balimi mbili gida uzuri ....
 
Ubarikiwe mtumishi kwa ufafanuzi mujarabu.
Hospitali za Wakatoliki kama Bugando, Ikonda, Kabanga, Peramiho na nyingine zilizo chini ya makanisa mengine ndani ya Christian Social Services Commission (CSSC) wanalipa kodi kama kawaida.
Labda kama serikali itakuja na gia nyingine mbadala ya kutoza kodi sadaka, zaka, mavuno na malimbuko ya waumini.
 
Halafu usifananishe Katoliki na makanisa ya kijinga mtoa mada
Sio makanisa ...ni huduma ...Yesu alianzisha visible church ndio maana alichagua hadi kiongozi wake yaani Petro ...ni Kanisa Katoliki pekee ambalo linaweza kutoa orodha ya viongozi wake (Pope) kuanzia Petro hadi Pope Francis ....HAKUNA huduma wala "Kanisa" linaloweza kuleta orodha hii rasmi (officially) hata ya kufoji!!!
 
Braza stori zako zote ila usichanganye uendeshaji wa Kanisa Katoliki na hizo ministries (Kanisa ni moja tu!) ...Kanisa linapofanya biashara lina lipa kodi uzuri kabisa ....Kanisa halimilikiwi na mtu ....Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ....miaka zaidi ya 2000 ya uinjilishaji na bado ndio Kanisa pekee linaloishi unabii wa Yesu mwenyewe kwa kuendelea kuwepo kwa nguvu ile ile hadi sasa ....hutaki nenda pharmacy ulizia mseto ....then tafuta baa upate Balimi mbili gida uzuri ....
Mkuu sizungumgizii mambo ya DINI. Nazungumzia ulipaji kodi.
NAHESHIMU kanisa Katoliki maana hata mimi ni MKATOLIKI ninachozungumzia ni umakini katika kila jambo mkuu.
Usinione vibaya. Sina ubaya wowote.
 
Braza stori zako zote ila usichanganye uendeshaji wa Kanisa Katoliki na hizo ministries (Kanisa ni moja tu!) ...Kanisa linapofanya biashara lina lipa kodi uzuri kabisa ....Kanisa halimilikiwi na mtu ....Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ....miaka zaidi ya 2000 ya uinjilishaji na bado ndio Kanisa pekee linaloishi unabii wa Yesu mwenyewe kwa kuendelea kuwepo kwa nguvu ile ile hadi sasa ....hutaki nenda pharmacy ulizia mseto ....then tafuta baa upate Balimi mbili gida uzuri ....
Kwani nini kutoguswa kama nani?
 
Haya maneno yote ni kwa sababu mtu mmoja hataki kutubu...
toba ni swala binafsi kati ya mtu na MUNGU wake kwa kadri anavyoamini hivyo wakati mwingine tunaweza kuhukumu kitu ambacho hatukijui.
 
Sio katoliki tu.Na KKT na Bakwata.
Nahisi sadaka zitaanza kukatwa kodi.
dini ZOTE ni lazima zitaatharika. Na kama ulivyosema KKT BAKWATA nao ni tajiri .
Sijui nani alipe akiropoka na nanni asilipe. Hili si jambola VISASI. Linahitaji uangalifu mkuu sna.
 
Mashule, Mahotel, Mahospitali ya Katoliki yanalipa Kodi, kanisa pekee ndio halilipi
Kwani KAKOBE ana HOTELI. Nipe ushahidi kama taaasisi hizo zinalipa kama ulivyosema. Huenda ukawa sahii nami nikawa out of touch.Hebu lete mkuu.
 
Back
Top Bottom