TRA waainishe kodi za kero-Kinana

Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,807
Likes
701
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,807 701 280
Akihutumia mjini mbeya Kinana amesema atawaagiza Tra waainishe kodi za kero kwani haiwezekani mtu ana mtaji wa sh ml 4 afuatwefuatwe na Tra kuhusu kodi.
_my take
hivi haya maagizo ya Kinana ni mangapi yalishatekelezwa toka ameanza kuiagiza serekali au ndio kudanganya hawa wadanganyika?
source.Itv habari
 
K

K.Msese

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,550
Likes
438
Points
180
K

K.Msese

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,550 438 180
Sioni anachokiongea, kwani zile za ndovu anazo ziuza nje, huwa zinatozwa kodi za kero?

Anaawaambia wananchi wafanyaje, badala ya kuongea na M/Kiti wake!
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Tafuta daftari andika yale maagizo yake halafu uone kama yametekelezwa au bado kupiga kelele bila kufuatilia make hutapata ukweli.
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
12,864
Likes
4,804
Points
280
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
12,864 4,804 280
Akihutumia mjini mbeya Kinana amesema atawaagiza Tra waainishe kodi za kero kwani haiwezekani mtu ana mtaji wa sh ml 4 afuatwefuatwe na Tra kuhusu kodi.
_my take
hivi haya maagizo ya Kinana ni mangapi yalishatekelezwa toka ameanza kuiagiza serekali au ndio kudanganya hawa wadanganyika?
source.Itv habari
ivi huwa unamwamini Kinana,mbona sasa hivi umeme unapanda hasemi kitu
 
B

bagi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
898
Likes
288
Points
80
Age
38
B

bagi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
898 288 80
kodi za kero / kero za kodi
Kiswahili safi sana
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,807
Likes
701
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,807 701 280
Tafuta daftari andika yale maagizo yake halafu uone kama yametekelezwa au bado kupiga kelele bila kufuatilia make hutapata ukweli.
kwa nia njema tu mkuu embu eleza japo machache aliyoagiza kinana na yakatekelezwa.
naahidi hili la Kero za kodi likitekelezwa najiunga CCM.
I PROMISE
 
Forum statistics

Threads 1,252,213
Members 482,048
Posts 29,800,671