TRA,TFDA,TBS tazameni kwa makini hii pombe ya K-Vant

Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
Ulikuwa hujala chakula..... hasa nyama.... hukupoteza kizibo kweli....???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRA?
Bila shaka K-Vant bado ipo kichwani mwako
 
Huyu jamaa hovyo kabisa, mzigo wa tani arobani unapakia kwenye kirkou kwann kisife? Hiyo ngoma heavy weight ndo maana unashindwa vuka mizani
 
Back
Top Bottom