dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
TRA wameachia huru Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata kwa kile walichodai imeingia nchini kihalali
Sukari iliyoachiliwa ni zile tani elfu 6,757 iliyokutwa kwenye maghala Mbagala Dar es Salaam, baada ya kujiridhisha iliingizwa kihalali nchini.
My Take:
Mimi nlijua Sukari hiyo itagawiwa bure, Nashauri Serikali ipunguze Siasa katika Mambo ya Msingi. Mambo kama haya yanapunguza imani kwa Rais, Haiwezekani rais aseme Sukari itakayokamatwa igawiwe bure halafu nyie Mseme eti Sukari iliingizwa kihalali kwa kufuata taratibu zote.
Je, nani kamdanganya Rais?. Hakika Rais Magufuli anahujumiwa

Custom bonded warehouse ni ghala la kuhifadhia bidhaa zikisubiri utaratibu wa kiforodha kukamilika/cleared.
Tumesikia kwenye media kuwa TAKUKURU imekamata sukari Mbagala majuzi.leo TRA Wametoa maelezo kuwa sukari ile uwepo wake haujavunja sheria.
Tena leo wameenda bandarini nako wamekuta sukari ambayo taratibu za kuitoa imekamilika jana!
Kwanini Hawa Takukuru wanakurupuka na kazi zao haziishii kutupa ripoti zenye afya? kwanini hawawasilini na vyombo vingine vya serikali kabla ya kutoa taarifa kwenye media kuwa wamekamata au wanafuatilia?
Mnakumbuka issue ya LUGUMI ilivyokuwa ya moto wakaingilia.mara wamechukua faili.mara kimyaaa!
Vizuri utendaji wao uwe na weledi naamini kazi nzuri walizowahi kuzifanya lakini zile mbaya zinawaharibia taswila yao katika jamii.kibaya zaidi wanamlisha Rais data feki za ukamataji kama huo!
Mungu ibariki Tanzania