Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Kuna vitu vingine vinasikitisha sana kuna jamaa alinunua gunia tano za mahindi kwenye soko la sirari. Alipopakia mahindi hayo kwenye gari maofisa wa TRA kituo cha sirari waliikamata gari hiyo na kuipeleka kwa meneja wa kituo hicho kilichopo mpakani mwa kenya na tanzania akaamua hayo magunia 5 yataifishwe na gari ilipe faini ya dola 1000.
Hivi kweli hata kama ni ofisa unataka makusanyo ya kodi yaongezeke unaweza kupiga faini kubwa hivyo bila sababu hata kama mahindi hayo yametoka Kenya.
Leo kuna upungufu wa chakula nchini halafu kiongozi anaamua kutaifisha mahindi na kupiga faini gari hii ni kero kubwa kwa wananchi. Serikali ichukue hatua za haraka kwani viongozi kama hawa wanaongeza chuki kwa serikali