TRA SCANDAL: Tiscan X-Ray overpriced by 2bn/-, experts reveal

Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
10
THISDAY REPORTER (18 July 2006 12:31)

Dar es Salaam

THE mobile X-ray scanning machine bought by Tiscan Limited for the inspection of containerized imports entering the country was overpriced by at least 2bn/-, experts say.

Industry sources told THISDAY that the US $4.5 million (around 5.4bn/-) price tag quoted by Tiscan officials for the Smith Heimann 3.8 Mobile X-ray scanner was an inflated figure.

Our investigations established that the exact model of X-ray scanner from Smith Heimann of Germany was currently quoted at a price of 2.15 million Euros (around 3.4bn/-). The sophisticated scanner is being used at the Dar es Salaam port, which handles 75 per cent of the country’s cargo.

Tiscan Ltd, a Tanzanian company and wholly-owned subsidiary of the Swiss-headquartered Cotecna Inspection S.A., bought the X-ray scanner on loan from a German bank in 2004.

Cotecna Inspection SA had carried out the immediate previous contract for pre-shipment inspection services to the Tanzania Revenue Authority that ended on December 31, 2003. From January 1, 2004, Tiscan began delivering destination inspection services for TRA, under a seven-year contract ? which means that the cost of the overpriced scanner will eventually be passed on to taxpayers through the TRA when the contract expires.

According to the terms of the contract, TRA will entirely own the equipment and technology being currently used by Tiscan after seven years.

A quotation sent to THISDAY from the manufacturers of the mobile X-ray scanner shows the current price is half what Tiscan officials claim to have paid for the equipment two years ago.

’’This sum of money (2.15m euros) includes your ten per cent commission,’’ a sales official from Heimann in Germany said in an emailed message. Tiscan Limited bought the X-ray scanner from Smith Heimann in France.

The company’s General Manager, Mr Verne Kulyk, told former President, Benjamin Mkapa, while visiting the port last year that the X-ray scanner was bought at a hefty US $4.5 million.

Mr Mkapa then ordered that security around the scanner be boosted to guard against fraudulent importers and unscrupulous clearing and forwarding agents who protested against its arrival because it posed a blockade to tax evasion.

Tiscan had borrowed some 3.25 million Euros from a German financial house to buy the mobile X-ray scanner in March 2004. The throughput capacity of the scanner is approximately 16 x 40 foot containers per hour.

Earlier, the chairman of Tiscan’s Board of Directors, Mr David Mollel, defended the company’s decision to take the bank loan and place the x-ray scanner as collateral even though the machinery would later be owned by TRA.

’’What is strange about Tiscan taking a loan ? what about TBL which took a loan from IFC (International Finance Corporation), it’s simply a business,’’ Mr Mollel said.

The mobile machine has a life span of 25 years just like the X-rays used in hospitals. Other countries in which Tiscan operates scanning operations are Ghana, Togo, Senegal and the Dominican Republic.
 
Fisadi gani wa Tanzania ana hisa nyingi kwenye TISCAN tumbane atupe ufafanuzi?

Asha
 
Kama niko right then atakuwa Karamagi .tafuta lakini ukweli hili sina uhakika nalo ila I can dig kule TRA na kupata ukweli wote .
 
Nawashukuru sanaThis Day kwa kufanya utafiti na kufukua jambo hili. Ni juhudi kama hizi ndizo zitatupunguzia kuibiwa kila siku, na mwishowe zitatuwezesha kufikia hali ya utawala wa kisheria.

Rais Mwinyi alipoingia madarakani alisema amekuja na fagio la chuma. Haikuwa kweli. Fagio la kweli litatokana na juhudi kama hizi za This Day na Mwanahalisi.

Ufanywe uchunguzi wa kipolisi. Documents walizotoa Tiscan kuonyesha bei ya scaner labda ni za kugushi. Uchunguzi wa kipolisi utaweza kupata original invoice. Kwa hali hiyo, kama Tiscan walifanya udanganyifu, basi mkataba kati yetu na wao unaweza kuwa batili, na wataweza kuchukuliwa hatua za kisheria.

Kama hujalala, watu wataogopa kukuibia. Labda tumeanza kuamka?
 
Bongo UFISADI kwenda MBELE...wao Tiscan watu wakija na vitu pale DSM port/airport wao ndio wanaotoa bei halisi ya kitu...DUH wao wenyewe MAFISADI HAKUNA....poa tu wajue kula kwa zamu...TIMU yenye mapenzi na UMMA wa Wa-TZ ikiingia WhiteHoue itaanza kupambana nao warudishe kwanza...haki kamili za wa-tz
 
Kuna watu wana jeuri Tanzania, siku Kikwete akiondoka madarakani atakuwa the richest guy in Africa!

Sawa, yeye awe, ila atawaeleza wajukuu zetu aliko zipata bilioni hizo, ama ndo maana aliibuka na sera za kutaka tengeneza mamilionea?? anataka jijengea mazingira kwamba wapo wengi!
 
Wana JF

Hili la TIScan linafahamaika vizuri sana na BWM aliamua kwa ujeuri wa hongo baada ya kupewa recommendations na rafiki yake Jerry Rawlings wa Ghana, na kuamua against the recommendations of his own intelligence officers. BWM alipelekewa hiyo ripoti kuhusu mbinu na tabia za COTECNA ambao wanajiita TSCAN na ripoti ilieleza kwa undani mbinu chafu za Cotecna failures zao kule Ghana, http://www.thestatesmanonline.com/pages/news_detail.php?section=1&newsid=4509 na Senegal, pamoja na hongo za kumhonga Kofi Anan kwa kupitia kijana wake - Iraq's Food-Oil program. TISCAN ni jina bandia linatumika na COTECNA kuficha madhambi yake, na rep wao Tanzania (former katibu mkuu) ndiye aliwaambia wabadilishe jina na hii baada ya ku-tender kama COTECNA. Kwa hivyo technically TISCAN NEVER tendered for Container Scanning Services na TRA, Central Tender board wanajua hili .

Baada ya BWM kupewa ripoti na makachero wake yeye badala ya kuamua akawatupia mpira TRA na kuwaambia wao TRA waamue la kufanya. TRA pia waka amuriwa kupitia wizara ya fedha Yona akiwa waziri,waende wakaone shughuli za container scanning zinavyofanywa Ghana, kumbe ni mpango wa COTECNA through BWM. The Commissioner General of TRA wakati huo marehemu Sanare, baada ya kuelezwa nadhambi ya COTECNA akaweka ngumu na kusema hawa Cotecna hawapati hiyo contract. Masikini kumbe Sanare kajichongea, kwa vile wahenga wasema "penye fedheha penyeza rupia". Kumbe zengwe likawa linapikwa Sanare aondolewe TRA, kwa vile yeye ndiye analeta kauzibe, wakati list yote ya wazito pale Mapato House na Matumizi House wameshalainishwa!Basi Sanare ikabidi ahamishiwe PM's office. Sasa kabla ya Sanare kuondoka akambiwa pesa hizi hapa mzee, weka mkono mambo yaende mbele.Wewe unaondoka, mkataba utasainiwa na pesa utazikosa. Sasa amua kusuka au kunyoa! The last contract Sanare signed before he left the office was Cotecnas contract pamoja na hilo jamaa wakamtolea nje. Kwa kumkomoa zaidi, wale aliokuwa amewafanyia kauzibe TRA, wakaamua kumnyan'ganya hata gari lake na kutaka kumfukuza kwenye nyumba hadi EL akaingilia na kuamua kummuzia nyumba wakati yuko mahututi! Sanare amekufa na frustrations za kunyanyaswa na wenzake TRA kwa vile kaucheza dili zao !

Issue ya TScan siyo siri wala lolote, data zote zipo na zinajulikana,zengwe lililochezwa hata usalama wa taifa wanalijua na walimweleza BWM kama rais atoe uamuzi lakinia he acted otherwise. Yaania hata VIN number ya hilo gari lao la Scanning inajulikana. Liko re-fubrished kwa vile baada ya kupinduka Ghana lilipelekwa Ujerumani kukarabatiwa. Bei ya hilo gari imezidishwa zaidi ya mara tatu ya jipya wakati ni used. Halafu la kusikitisha ni kuwa undeshaji wa scanner hiyo TRA officials hawausiki. Risk management and assessment na profiling of importers TRA kwao ni ndoto wanawategemea TISCAN!

Lingine linaloudhi ni hili, TIScan are supposed to do Destination Inspection na hii ndiyo ilikuwa kigezo cha kuanzisha hiyo scanning. This was supposed to replace Pre-Shipment Inspection. Hadi leo hii vyote vinafanywa na kampuni hiyo hiyo ,TISCAN + COTECNA. Wewe leo unatumia pesa zako ulizozihenyea huku nje, na ukatuma mzigo wa vitabu ambao haulipiwi kodi lakini bado utalipishwa 1.2% ambayo TScan wanapewa 0.8% kwa nini. Did you know that TISCan collects 0.8% of the value of all imports to Tanzania and it is the LAW !!! na 0.4% wanachukua BOT! . Na TISCAn wana mkataba wa miaka 10+ !!

Amakweli nchi imeuzwa! Tunayasikitikia ya BOT, TRA ni balaa!
 
sasa tukimbilie wapi ? muhimbili nako kichwa ni sawa na mguu.kabda nitafute hifadhi ya ukimbizi kenya
 
sasa tukimbilie wapi ? muhimbili nako kichwa ni sawa na mguu.kabda nitafute hifadhi ya ukimbizi kenya

Kwikwikwiii, Katibu,
Kenya nako kwa sasa hakufai kibaka je?? achilia mbali Mungiki!

But to be honesty Tanzania inako elekea siko! yaani kila kona wizi wizi wizi, yaani ni kuchukua chako mapema kwa kwenda mbele!
 
This is Tz,kwa mwendo huu naona tunaitaji msaada wa Muumba manake kama kula uku ni kukomba mboga.
 
Kama mikataba ya kiuchumi kati ya taifa na wawekezaji ingebidika kupata ridhaa ya wawakilishi wa wananchi (Bunge, au kamati ya Bunge), basi haingekuwa rahisi kutuibia kila mara kama ilivy sasa.

Katiba yetu inasema wazi kwamba Bunge lisimamie utendaji wa serikali. Serikali imekataa kuwasilisha mikataba kati yake na wawekezaji Bungeni kabala ya kuisaini. Wana sababu zao, na ni za kulinda wizi. Lakini wanakiuka katiba.

Taifa linabakwa na wawekezaji kama Tiscan, wakishirikiana na viongozi waandamizi serikalini. CCM inasimamia shughuli nzima. Ukiuliza utaambiwa unataka kuharibu amani iliyopo. Mtu anayeibiwa kila siku ana amani? Anahitaji kweli kudumisha hali hiyo?
 
Zalendo, I salute you (Sir/Madam)... Nadhani ninahitaji a break sababu hilo uliliweka hapo kwa kweli kama ni ufisadi hapo ni breki!!! duh..... Si mchezo lakini wahenga walisema "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni", tupewe haki yetu hata ya kula na kulala jamani manake (mabucha, kariakoo kunfungwa nk) tunaenda pabaya!!!!!1
 
The heading of this thread says that the Tiscan scanner was overpriced by about two billion shillings. If Tiscan collects 0.8% of the value of all imports to Tanzania, as divulged by Zalendohalisi, then it collects from us about sixteen billion shillings per year! I'd say that is overpayment by at least ten billion shillings per year!
 
Ulikuwa utawala wa JK. Lowassa ndio alikuwa na mkono kwenye manunuzi ya hizo mashine kipindi ni waziri mkuu. Angalia tarehe ya mada yenyewe.

Nchi ina chosha hii. Huu wizi umewaingiza watanzania wa kiwango cha kati katika umaskini mkubwa kwa kulipia ushuru mkubwa zaidi ya thamani ya mizingo au bidhaa wanazo ingiza nchi ili mradi kufidia mashine kama hizo na kuchanga fedha za safari za Rais wa awamu ya 4. Magufuli anatakiwa kuliangalia hili na kuifumua mamlaka hii ya mapato na kuiunda upya kwani kwa sasa imeoza vibaya sana. Asifungie macho uonevu katika ulipaji kodi kwani sheria zinazo tumika TRA kwa sasa haziendani na sheria za manunuzi ya bidhaa wala kuli ngana na kipato cha mtanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom