TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,361
2,000
TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.PICHA|MAKTABA

Na Frederick Katulanda na Hadija Jumanne, Mwananchi

Posted Jumatano,Januari 1 2014 saa 12:27 PM
Kwa ufupi
Hivi sasa itawatoza faini na kuendelea na utoaji elimu kabla ya kufunga maduka.

Mwanza/Dar. Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo alisema wameweka mikakati ya kuwaelimisha wafanyabiashara.

Miongoni mwa mikakati hiyo, ni kuwatembelea na kuwashauri, kuwakumbusha na kuwatoza faini ya asilimia tano hadi kumi kwa ambaye hajatekeleza utaratibu wa kutumia mashine hizo.

Wakati TRA wakisema hayo, polisi mkoani Mwanza jana walipita mitaani kuwataka wafanyabiashara kufungua maduka bila mafanikio.

TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD - Kitaifa - mwananchi.co.tz

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,801

TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD - Kitaifa - mwananchi.co.tzHaya ndiyo matokeo ya mipango na uongozi usio rafiki na shirikishi kwa wananchi, kama kweli TRA ilikuwa na nia njema mapema mlitakiwa kuwashirikisha wadau katika jambo hilo, TRA mlitakiwa kutazama njia bora ya kuzipata machine hizo kwa bei ambazo wafanyabiashara wangemudu maana baadhi yao wamekiri kuwa machines hizo zina umuhimu tatizo lake ni bei kuwa kubwa mara sita ya bei halisi, je ni kweli kuwa hilo hamkuliona tangu mwanzo?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,361
2,000
Hawa wanaojiita Viongozi nchini kwa kukurupuka ndio wenyewe. Maamuzi yao siku zote ni ya kuwaumiza Wananchi. Huo ni mradi wa mtu/watu wanasuburi kuhesabu faida yao. Iweje hizo mashine ziwe na bei ya juu kiasi hicho wakati kwa jirani zetu Kenya zinauzwa kwa bei ya chini. Na kama wafanyabiashara wako tayari kujipanga kuziagiza toka Kenya wenyewe kwanini TRA iwakatalie? Wamekurupuka na kutaka kuwaumiza Watanzania sasa inakula kwao. Wafanyabiasha wawe na msimamo mmoja katika kupinga bei ya juu ya hizo mashine. Serikali na TRA zimeaanza kuweweseka, kukiwa na mshikamano basi itabidi wasalimu amri tu na kupunguza bei kwa kiasi kikubwa tu na hiyo kuziuza mashine hizo kwa "hasara"

Haya ndiyo matokeo ya mipango na uongozi usio rafiki na shirikishi kwa wananchi, kama kweli TRA ilikuwa na nia njema mapema mlitakiwa kuwashirikisha wadau katika jambo hilo, TRA mlitakiwa kutazama njia bora ya kuzipata machine hizo kwa bei ambazo wafanyabiashara wangemudu maana baadhi yao wamekiri kuwa machines hizo zina umuhimu tatizo lake ni bei kuwa kubwa mara sita ya bei halisi, je ni kweli kuwa hilo hamkuliona tangu mwanzo?
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Tarifa ya tra ni nzuri lakii wewe umeiandika kiumbea kabisa sijui umepungukiwa nini.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Hawa wanaojiita Viongozi nchini kwa kukurupuka ndio wenyewe. Maamuzi yao siku zote ni ya kuwaumiza Wananchi. Huo ni mradi wa mtu/watu wanasuburi kuhesabu faida yao. Iweje hizo mashine ziwe na bei ya juu kiasi hicho wakati kwa jirani zetu Kenya zinauzwa kwa bei ya chini. Na kama wafanyabiashara wako tayari kujipanga kuziagiza toka Kenya wenyewe kwanini TRA iwakatalie? Wamekurupuka na kutaka kuwaumiza Watanzania sasa inakula kwao. Wafanyabiasha wawe na msimamo mmoja katika kupinga bei ya juu ya hizo mashine. Serikali na TRA zimeaanza kuweweseka, kukiwa na mshikamano basi itabidi wasalimu amri tu na kupunguza bei kwa kiasi kikubwa tu na hiyo kuziuza mashine hizo kwa "hasara"
Weka picha kwanza acha maneno mepesi.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,361
2,000
Weye kweli Elimu MULUGO!!! huelewi kilichoandikwa hapo!? Ndiyo Matatizo ya division 5 katafute cartoons kwingine hapa hakuna cartoons.

Weka picha kwanza acha maneno mepesi.
 
By hair

Senior Member
Sep 6, 2013
141
0
Kero zipo nyiiingi sana,hiyo mashine ni moja wapo tu.kwanza polisi ,Trafic nao ni Tra,wanaposimamisha gari hawaangalii makos ya gari Bali mizigo ulionao.Maofisa wa Tra huvamia duka na kwenda kwenye droo ya hela kwenda kuhesabu kilichopo.ukilipia mizigo mfano boader ya Sirari,unapofika mikutano ya njia ya kwenda Musoma na tarime.unakutana na Tra ya Musoma inataka laki tano,bila risiti,ukifika magu wanataka pesa Pia,kuingia mwanza unatakiwa upige simu Tra ya mwanza kwamba unashusha mizigo wake kuchukua laki tano.usipopiga wanaomba milioni 3 ama milioni 2.hiyo ni nchi moja,lakini,hayo ndiyo wanayoyapata wafanyabiashara.kingine,serikali itoze kodi ipasavyo kwa makampuni ya madini,makampuni ya simu,na kwa wafanyabiashara wakubwa.sio kukomalia wadogowadogo,pamoja na wafanyakazi waajiriwa,Nyerere alisema serikali corrupt haikusanyi kodi kwa makampuni makubwa,Bali itawaonea wadogowadogo.ndiyo hii ya kwetu.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,237
2,000
TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.PICHA|MAKTABA

Na Frederick Katulanda na Hadija Jumanne, Mwananchi

Posted Jumatano,Januari 1 2014 saa 12:27 PM
Kwa ufupi
Hivi sasa itawatoza faini na kuendelea na utoaji elimu kabla ya kufunga maduka.

Mwanza/Dar. Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo alisema wameweka mikakati ya kuwaelimisha wafanyabiashara.

Miongoni mwa mikakati hiyo, ni kuwatembelea na kuwashauri, kuwakumbusha na kuwatoza faini ya asilimia tano hadi kumi kwa ambaye hajatekeleza utaratibu wa kutumia mashine hizo.

Wakati TRA wakisema hayo, polisi mkoani Mwanza jana walipita mitaani kuwataka wafanyabiashara kufungua maduka bila mafanikio.

TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD - Kitaifa - mwananchi.co.tzWamegoma au wako kwenye sikukuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom