Hivi kwanini serkali ikaamua kukusanya kodi ya Roadlicense kwa kukamata magari ingekuwa vizuri waweke tozo katika mafuta kodi ingekusanywa nyingi zaidi kwani kuna magari mengine hayana hata plate no yako vijijini na mitambo kuliko kung'ang'ania hapa mjini naomba wabunge warudishe hoja ya tozo la mafuta