TRA/PCCB chunguzeni wizi mkubwa Max Malipo leo hii

Mr Nzoka

Member
Nov 22, 2015
94
125
Mkuu, Ingia Tigopesa Lipia Gari lako, Acha kuwachosha wana Jamvi, Pili Nawasiswasi kama wewe ni Mmiliki wa Gari, Maana Mpaka unafikia kukamatwa Ujue wewe ni Jeuri wa kulipa Kodi, Wangekutia na Lockup ili Next time Uwe na Nidhamu na sio unakaa na kodi ya serikali wakati inatakiwa Ikajenge zahanati na kusaidia Mambo ya Maendeleo.
Hahahaha nawe una maneno,utadhan wewe ni mtaalam wa kila kitu,mimi si mkwepa kodi fatilia Uzi anyway ilikuwa ni kuleta kwa wanajamvi huwez jua leo kwangu kesho kwako
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,036
2,000
Kazi ya kulinda gari ni kazi ya tra, siku wakikamata langu tunapelekana mahakamani, kuna vijana wengi wanahitimu sheria unamuwezesha nauli na msosi na kumwahidi tukishinda kesi tunagawana fidia pasu.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,696
2,000
Kwa Utaalamu wangu Mdogo na Uelewa; Hapa Tatizo la Msingi ni kwanini Njia za kulipia Hazifanyi kazi, na sio kwanini Maxmalipo au Kwanini TRA.

Pili Mwandishi; Hujaelezea imekuaje kwanini hujaenda Bank, maana wanaopokea malipo haya ni Mabank (CRDB,NMB) ,Mitandao yote ya simu pamoja na Maxmalipo.

Tatu: Kwa Serikali ya hapa Kazi tu sidhani kama kuna sababu nyepesi mtu anaweza kuhujumu Uchumi kama inavyoelezewa hapa Juu... tutafakari kwa umakini

Nne: Hii POST isije ikawa ni ushindani wa wa kibiashara.

Ni mawazo tu
Hivi mnasomaga na kuelewa au mnaandika tu?
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,696
2,000
Kazi nzuri sana, Pole kwa yaliyokusibu kwa kukosa mtandao wa Max Malipo. kama ulikua na uwezo wa kulipa mbona usilipe mpaka unakamatwa unalipa pamoja na fine juu yake?
Nchi ya manyumbu ni rahisi sana kutawala kwani nyumbu mmoja akiona mwenzake amepatwa na tatizo lazima atajifariji kwa kusema ''yule amefanya kosa...''. Hapa nadhani hoja sio ''kwanini hakulipa'' bali hoja ni ''kwanini mtu anaambiwa alipe kwa mfumo fulani na ule mfumo haufanyi kazi. Hapa inaonekana wanapiga dili na hao watu wenye hizo sehemu za kulaza magari ili wapate fedha za kulaza magari kwa wingi halafu wanawagawana.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,313
2,000
Mkuu, Ingia Tigopesa Lipia Gari lako, Acha kuwachosha wana Jamvi, Pili Nawasiswasi kama wewe ni Mmiliki wa Gari, Maana Mpaka unafikia kukamatwa Ujue wewe ni Jeuri wa kulipa Kodi, Wangekutia na Lockup ili Next time Uwe na Nidhamu na sio unakaa na kodi ya serikali wakati inatakiwa Ikajenge zahanati na kusaidia Mambo ya Maendeleo.

Mambo ya maendeleo zinatumika za Kagera.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,313
2,000
Mtu anauliza kama mfumo utakaa unamsubiri mleta uzi na kwanini atarajie kuukuta uko smooth, sasa kwanini asiukute smooth?

Watu wengine ni kama wanaandika huku wana njaa ya akili, mtu hajalalamikia malipo na ameelezea kilichosababisha aonekane ana deni.
Concern yake ni jinsi gani TRA wamemgomea kulipa benki kwa madai risiti itapotea na kung'ang'anizwa alipe Maxcom ambapo huko akakuta mtandao upo chini.

Anatokea mpuuzi mwingine anauliza kwanini hukulipia benki?
 
Mganda jr

Member
Oct 6, 2016
8
45
Ingekua umelipa mapema huu uzi usingeutoa leo umekubali kama kweli deni lako ni hilo ulilolisema mi nilijua umebambikiwa we kuwa mpole ila ni somo la kukufanya ulipe kwa wakati. Pole ndg
 
amamus

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
370
250
Kaka mimi si mkwepa kodi kwanza Kwan nimeona kuandika source nitaandika mengi,hata mimi nimeshangaa kukuta ni deni tena kubwa tena kwa gari ndogo ambalo ni km milioni moja n kitu.Ni hivi nimeenda kucheki tra kuangalia chanzo cha deni nikakuta kuwa kuna kipindi niliuza gari yangu miaka ya nyuma kwa kutumia TIN moja na hii gari sasa inaonekana huyo mtu niliyemuuzia hajabadilisha jina au aidha gari amelidump wakati tra akaunti unaendelea,so nimeona nilipe kwanza halafu nianze kufatilia kwa nini halipi mapato so unavonisakama unaniumiza kwn ht mimi nimeumia sana
Halafu ishu hapa nalalamikia Nini kipo nyuma ya pazia ya network ya MAXMALIPO, so ndugu hii ni meza ya kusaidiana ushauri labda nawe km una maslah kwenye hii ni sawa
Pole mkuu I can imagine...Pole sana
 
Mr Nzoka

Member
Nov 22, 2015
94
125
Mtu anauliza kama mfumo utakaa unamsubiri mleta uzi na kwanini atarajie kuukuta uko smooth, sasa kwanini asiukute smooth?

Watu wengine ni kama wanaandika huku wana njaa ya akili, mtu hajalalamikia malipo na ameelezea kilichosababisha aonekane ana deni.
Concern yake ni jinsi gani TRA wamemgomea kulipa benki kwa madai risiti itapotea na kung'ang'anizwa alipe Maxcom ambapo huko akakuta mtandao upo chini.

Anatokea mpuuzi mwingine anauliza kwanini hukulipia benki?
Thanks mpendwa,hii ndo shida yangu tu coz ukishikwa shikamana nilifanya makosa ktk gari nilouza tena niliuza kwa mtu makini and then nakuta huyu mtu makini halipi kodi,nimekamatwa kwa kudaiwa kodi ya tin nikaona nilipe kwanza coz ubishi unaongeza bill ya ten kila siku ya ulinzi nikishalipa nimtafute huyu mteja wangu tujue shida ipo wapi and then watu wanakuja kuniponda ila kweli hatuna Upendo badala tutafute mbadala wanaanza kunibeza,mimi nataka nilipe ila unaambiwa mtandao upo down wakati huo unazidi kuliwa ten watu wanajitoa ufahamu as if wenyewe wamiliki wa hii mitandao sisi kweli ni hivyo,
imagine mpendwa nimeamua kulipa baada ya kugundua kosa lipo wapi tena kwa ghafla almost zaid ya million I plus penalties halafu nsenge moja inasema mie ni mkwepa kodi,angekuwa yeye anaweza toa pesa hiyo fast a hivo,tena mimi nataka nilipe tena unapewa madharti kwamba ni lazima ulipe maxmalpo TUPENDANE TUACHE ROHO NBAYA TUNATUMIWA,TUNACHECHELEA KM MANYANISSSSS
 
Ndiyo online community zilivyo pole sana mkuu.
 
Mr Nzoka

Member
Nov 22, 2015
94
125
Wewe ni mdaiwa SUGU. Huwezi kukaa miezi yote hiyo uje leo kulipa and you expect everything to be just fine kana kwamba huo mfumo ulikuwa unakusubiri wewe tuu..Kama bodi ya mikopo wanalipisha wanafunzi na penalty why not u?

TUJIFUNZE KULIPA BEFORE DUE DATE.
Eja one nawe ni kiepe
 
CR7Balaa

Member
Apr 13, 2016
19
45
Nyogeza: Hivi kwa nini nchi inaruhusu pesa za nchi kupitia kwa mawakala uchwara wakati tuna mabenk ya kutosha nchi nzima,je kwa mfano mtandao ukigoma mwezi mzima wa MAXMALIPO inabidi niandae laki tatu ya ulinzi, hii sio Sawa
Hopeless usie jua technolojia.....hiki sio kitu kipya dunia....system za bank zinapigaga chini na mnaona kawaida tu....tanua ubongo nenda extra mile uwe na uwezo kidogo hata wa kufikilia vizur....mzee unaongea kama umeshikiwa akili....
 
CR7Balaa

Member
Apr 13, 2016
19
45
u
Mifumo ya malipo ya kodi isiwe ya mateso kwa walipaji. Ni wapuuzi tu wanaotetea utaratibu wa kumsumbua mtu anayefanya malipo. Ni lazima kuwe na njia mbadala kama mfumo wa max malipo haufanyi kazi.
Uzembe wa mtoa andiko kusifanye tukaconclude kuwa mfumo mbovu....akalipe tu
 
CR7Balaa

Member
Apr 13, 2016
19
45
Kaka nimeambiwa na afisa tra kuwa haya malipo hayaruhusiwi kupitia bank wao wamewapa kazi mawakala ambao ni maxmalipo,kumbuka tra ndo wanakutengenezea draft ya deni ili ukalipe pahala husika so km hupewi ya bank unaambiwa uende maxmalpo unafanyeje?
sio kwel nenda bank yoyote tena kama CRDB wamededicate malipo ya TRA kwenye dirisha maalumu
 
dlazari

Member
Sep 20, 2012
74
95
Kaka nimeambiwa na afisa tra kuwa haya malipo hayaruhusiwi kupitia bank wao wamewapa kazi mawakala ambao ni maxmalipo,kumbuka tra ndo wanakutengenezea draft ya deni ili ukalipe pahala husika so km hupewi ya bank unaambiwa uende maxmalpo unafanyeje?

Tobaa, Wewe ndio maana nimesema hata Gari nawaiswasi huna... Deni haliandaliwi na Maafisa wa TRA Kaka, Unatakiwa kutuma tu SMS yenye namba fulani au kuprintiwa deni lako Pale unapoenda TRA na TRA zote wanakuambua njia za kulipia.

Usivute Hisia za wanajamvi kwa Hoja Nyepesi nyepesi.. Kama Gari iko yard, Tuambie ni Yard gani, acha kutuzungusha ** Umetumika tu kwenye hili

Umenifanya Nihisi wewe ni Kanjanja kabisa kwenye hili. ( Hiyo chini nimecopy kwenye Tovuti ya TRA)

3.0 UTARATIBU WA KULIPA:

  1. Kufahamu kiwango cha kodi. Tuma ujumbe wenye neno “Kadiria” au “Assess” acha nafasi andika namba za gari mfano KADIRIA T765AAU kwenda namba 15341.
  2. Kujisajili: Tuma ujumbe wenye neno; “sajili” acha nafasi na kuandika namba ya gari husikamfano SAJILI T765AAU. Tuma ujumbe huo kwenda namba 15341. Baada ya hapo mlipakodi atapata ujumbe wa namba ya kumbukumbu ya malipo (Reference number).
  3. Fanya malipo kwa kutumia TIGOPESA, M-PESA, AIRTELMONEY, Benki ya CRDB au wakala wa MAXMALIPO kwa kutumia namba ya kumbukumbu uliyopata. Namba za Kampuni ni TIGO-PESA na M-PESA ni 800600. AIRTEL-MONEY ni TRAMAGARI.
  4. Kuchukua kadi: (stika ya gari): nenda katika ofisi yoyote ya TRA ukiwa na namba ya kumbukumbu uliyoitumia kufanya malipo.
Zingatia.

Tanzania Revenue Authority - Mfumo mpya wa kulipia ada za magari kwa njia ya mtandao
 
Cute shy

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
1,150
2,000
We
Kaka mimi si mkwepa kodi kwanza Kwan nimeona kuandika source nitaandika mengi,hata mimi nimeshangaa kukuta ni deni tena kubwa tena kwa gari ndogo ambalo ni km milioni moja n kitu.Ni hivi nimeenda kucheki tra kuangalia chanzo cha deni nikakuta kuwa kuna kipindi niliuza gari yangu miaka ya nyuma kwa kutumia TIN moja na hii gari sasa inaonekana huyo mtu niliyemuuzia hajabadilisha jina au aidha gari amelidump wakati tra akaunti unaendelea,so nimeona nilipe kwanza halafu nianze kufatilia kwa nini halipi mapato so unavonisakama unaniumiza kwn ht mimi nimeumia sana
Halafu ishu hapa nalalamikia Nini kipo nyuma ya pazia ya network ya MAXMALIPO, so ndugu hii ni meza ya kusaidiana ushauri labda nawe km una maslah kwenye hii ni sawa
Upo hapa kutaka kuonewa huruma ambayo hausitahiri, unasema hujui kwa nini deni limekuwa kubwa kubwa muda huo huo unasema uliuzaga gari miaka ya nyuma kwa tin yako kumbe unajua kwanini deni limekuwa kubwa, kuhusu kulipa 10000 hiyo ni kwa ajili ya ulinzi wa gari lako hiyo hela hailipiwi maxmalipo ni hapo hapo yard, net ya maxmalipo ikisumbua kwa upande wa kodi za tra hapo tatizo lipo tra na siyo maxmalipo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom