TRA: Nyumba za nyasi hazitatozwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,072
103,284
20210822_12103514854.jpg

My Take
Ndugu wananchi kama mnaona huyu mama hafai,acheni kulalamika.mwambie atoke
 
Hazitatozwa kodi kwa utaratibu Upi ?

Na mabanda yaliyo vuta umeme yanaingia kwenye Category hiyo ?
 
Na akiupgrade inakuaje...na mtu wa mjini akiezeka k a Nyasu atatozwa au ataachwa...if kigezo ni Nyasu hoteli zilizoezekwa kwa Nyasu itakuaje...
 
Haaahaaa daaaaa kichekesho Cha Karne Hivi Hawa makaburu weusi CCM wanatuchukuliaje wananchi wadau?

Hizo nyumba za nyasi na makuti mita zao za mbao?
 
Back
Top Bottom