TRA Nimepigiwa Simu: Internal Investigation Officer

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa TRA, (Namba zao 0222125506) na kuambiwa kuwa interview ni tarehe 13, msimbazi centre......

Shukrani kwa mungu
Shukrani kwa JF
 
hongera lakini inaonesha wewe huna siri hivyo kwa kazi uliyoomba inaonesha wazi haikufai.
ili kutoa taarifa hizi kwa wadau ingetosha kusema 'Nasikia TRA wameita watu kwenye interview' basi!
mpaka unataja hata position uliyoombea ,shemu na no za simu ni 'utoto' .Je kama wameita wewe pekee kwenye hiyo nafasi? na wanaona hilo bandiko unafikiri itakuwaje?

siku nyingine jifunze kula na hasiyeeona!
 
Pouwa kaka ni wazi kuwa andiko lako hili nimejifunza, asante kwa hilo....ila hii yote ni kwa kuwa kuna uzi uliletwa hapa asubui mabishano yakawa makubwa sana kuhusu kuitwa na kutokuitwa, so my intention kuweka all that ni kuwa shuhuda wa ule uzi wa awali wa PACHOTA, However asante kwa ushauri wako mahiri
 
hongera lakini inaonesha wewe huna siri hivyo kwa kazi uliyoomba inaonesha wazi haikufai.
ili kutoa taarifa hizi kwa wadau ingetosha kusema 'Nasikia TRA wameita watu kwenye interview' basi!
mpaka unataja hata position uliyoombea ,shemu na no za simu ni 'utoto' .Je kama wameita wewe pekee kwenye hiyo nafasi? na wanaona hilo bandiko unafikiri itakuwaje?

siku nyingine jifunze kula na hasiyeeona!

Inaelekea ulivyokua unasoma ulikua mchoyo wa material kinoma.
 
Back
Top Bottom