Tra ni moja why magari toka zanzibar yakija bara yanalipishwa tena kodi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra ni moja why magari toka zanzibar yakija bara yanalipishwa tena kodi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chipukizi, Jan 28, 2011.

 1. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Wadau nnaomba mnisaidie hili.Tanzania ni moja na ina katiba moja ambayo ndo inatumika Bara na Visiwani.Tanzania Ina kusanya Kodi nchi nzima kwa kupitia TRA ambayo ipo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi hii. Iweje uwezi tumia Gari yenye namba za ZNZ apa Bara?
  Iweje unatakiwa ulipe tena Kodi apa Bara ili uweze tumia Gari lililosajiriwa Zanzibar?
  Je huku sio kukiuka Katiba?Je apa Serikali kupitia TRA aiwanyonyi Raia kimakusudi?
  Wadau nisaidieni
   
 2. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Zanzibar ni Nchi na wana Katiba yao, hawafuati katiba ya Muungano ndio maana Zanzibar kuna Serikali ya mseto.
   
 3. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  na pia zanzibar wana sheria zao za kodi ambazo inawezekana hazifanani na za muungano.
  siyo kila kitu kinachohusu znz kipo kwenye muungano.
   
Loading...