TRA na Ushuru wa magari toka Japan, shida ni nini?

Kwa wale wenye fedha za kuunga unga bado tunasubiri TRA washushe kodi, wakishusha tushtuane kupitia uzi huu tafadhali.
 
In EAST AFRICA TZ tunaongoza kwa kodi kubwa ya ku import gari kuna vinchi vya kishamba hawana kodi za kiwehu kama hizo mfano Malawi unaweza agiza gari na kodi ukawa unalipa kidogo kidogo mpaka unamaliza na sio ya kuumizana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Malawi wana import Magari kutoka Nchi gani? Na mpaka ifike kwao bei yao inafikia kwacha ngapi kwa Toyota Noah?
 
Malawi wana import Magari kutoka Nchi gani? Na mpaka ifike kwao bei yao inafikia kwacha ngapi kwa Toyota Noah?
Binafsi naamini wanatumia bandari ya Dar kwa asilimia kubwa, ila magari yao ya IT (In Transit) yanalipiwa gharama za bandarini tu kodi wanalipia kwao Malawi, kwa hiyo bei ya Noah kwa malawi itategemeana na rate ya importy duty +VAT+Excise duty za Malawi.
 
binafsi naamini wanatumia bandari ya Dar kwa asilimia kubwa, ila magari yao ya IT (In Transit) yanalipiwa gharama za bandarini tu kodi wanalipia kwao Malawi, kwa hiyo bei ya Noah kwa malawi itategemeana na rate ya importy duty +VAT+Excise duty za Malawi.
Toyota Noah brand new kwacha ngapi Malawi?
 
Huwa hawashushi ila wanaongeza tu, Kuna gari inauzwa dola 4000 C&F wao kodi wameiandikia 17,500,000 M,na ni gari ya mwaka 2010
Umefika wakati wafanya tathmini ya hizi kodi! Hivi wakipunguza kodi sana na watu wakanunua magari mengi si bado watapata fedha toka kwenye kodi inayolipwa mojamoja wakati wa kununua mafuta (diesel na petrol)?
 
Hawajawahi kuwaza mambo mazuri hata siku moja, kazi yao huwa ni kukomoa na kupata kidogo
 
Back
Top Bottom