TRA na TANESCO wanajua kwamba Nyumba ni chache kuliko idadi ya mita za Luku?

Tunahitaji fedha za Kigeni ili nchi iendelee, dawa diesel bansen banner tunaagiza nje kwa fedha za Kigeni, hiyo miamala inakusanywa kwa fedha za madafu ni hela za kulipana posho tu,
 
Hivi ikitokea tu mkanyamaza mtapungukiwa nini maana hata mkisema ndo wanazidi kuleta tu. Acheni walete matozo yao, yani hata walete tozo ya uzazi fresh tu. Mtoto akizaliwa alipiwe kodi.

Mnaona kabisa hawaelew na hawaeleweki mmekomaa tu kulalama
 
Hivi hii kodi ya majengo ni mpya au ilikuwepo? Mimi naona kilichobadilika ni namna ya ulipaji na kutoka 10,000 mpaka 12,000 kwa mwaka. Tujiulize kwenda kupanga foleni TRA ili ulipe 10,000/- na kulipa 12,000/- kupitia manunuzi ya Luku kipi kina rahisisha maisha? Wabongo tunapenda sana kulalamika.

Wewe hujaelewa point ya mtoa mada na issue sio kutokulipa
Point ni je nyumba zetu za kupanga ndani kuna mita 6 ni sawa kulipia zote 6 wakati ni nyumba moja utofauti ni wapangaji??

Ukipata jibu jifikirie upya
 
Mtoa mada ni kilaza na hajafatilia hizo kodi, alichojua yy ni kuamka na kupost ushuzi. Yaan wewe mpumbavu ujue kuwa kuwa kuna mita nyingi za Luku alafu watu wanaodrive nchi wasijue?
 
Hivi hii kodi ya majengo ni mpya au ilikuwepo? Mimi naona kilichobadilika ni namna ya ulipaji na kutoka 10,000 mpaka 12,000 kwa mwaka. Tujiulize kwenda kupanga foleni TRA ili ulipe 10,000/- na kulipa 12,000/- kupitia manunuzi ya Luku kipi kina rahisisha maisha? Wabongo tunapenda sana kulalamika.
Daaah .... Hakika They(and u specific) dont care about US vibwagizo cha MJ kikufikie popote ulipo.
 
Hivi hii kodi ya majengo ni mpya au ilikuwepo? Mimi naona kilichobadilika ni namna ya ulipaji na kutoka 10,000 mpaka 12,000 kwa mwaka. Tujiulize kwenda kupanga foleni TRA ili ulipe 10,000/- na kulipa 12,000/- kupitia manunuzi ya Luku kipi kina rahisisha maisha? Wabongo tunapenda sana kulalamika.
Mi huwa nashangaa sana. Kila kitu tunalalamika, ukiuliza buku kwa mwezi. Usenge tupu, sijui tunadhani maendeleo yanapatikana bila kodi
 
manina miaka 60 ya uhuru maendeleo mumeshindwa kuleta 2025 tunawatoa kwa nguvu,
 
Wana kila sababu ya kulakamika. Kwanini Wabunge, Mawaziri na Rais hawalipi kodi? Kwanini wizi, ufisadi na ubadhirifu unaoandikwa kila mwaka katika ripoti za CAGs hakuna anayewajibishwa? Kwanini ndani ya miaka 60 ya nchi tajiri mikopo na misaada ya trillions hatuna chochote kile cha kujivunia? Kwanini huduma zetu zote muhimu elimu, afya, umeme, maji safi, usafiri ni za hovyo? Kwanini hakuna ajira hata kwa graduates? Kwanini hawa Wabunge, Mawaziri na Rais wanaishi maisha ya matanuzi makubwa bila kuona uchungu wa pesa za walipa kodi!?

kwakweli watu wanapenda Sana kulalamika
 
Umeongea vyema sana, lakini pia kuna wafanyabiashara ndogo ndogo ambao hawamiliki hata viwanja zaidi ya kibanda tu na wameweka/wamefunga mita kwa ajili ya kupata umeme ili kuendesha biashara zao. Sasa hapa ndio kwenye ukakasi, sijui wametumia kigezo gani kuwaweka kwenye utaratibu wa kulipia majengo?
 
Kama itakuwa kila mita inahesabika iko kwenye jengo linalojitegemea! basi huu utakuwa ni wizi wa Serikali kwa wananchi wake!
Tatizo kubwa ni hata hao wanao ibiwa wamekubali kuibiwa.

Kama waziri mwenye akili za kubeba mwanae mgongoni anakwambia "wakate tu, watazoea" unategemea nini hapo!.
 
Wewe hujaelewa point ya mtoa mada na issue sio kutokulipa
Point ni je nyumba zetu za kupanga ndani kuna mita 6 ni sawa kulipia zote 6 wakati ni nyumba moja utofauti ni wapangaji??

Ukipata jibu jifikirie upya
TRA washatoa ufafanuzi. It's over....tutafute issue nyingine ya kuhangaika nayo kama kawaida.
 
Wana kila sababu ya kulakamika. Kwanini Wabunge, Mawaziri na Rais hawalipi kodi? Kwanini wizi, ufisadi na ubadhirifu unaoandikwa kila mwaka katika ripoti za CAGs hakuna anayewajibishwa? Kwanini ndani ya miaka 60 ya nchi tajiri mikopo na misaada ya trillions hatuna chochote kile cha kujivunia? Kwanini huduma zetu zote muhimu elimu, afya, umeme, maji safi, usafiri ni za hovyo? Kwanini hakuna ajira hata kwa graduates? Kwanini hawa Wabunge, Mawaziri na Rais wanaishi maisha ya matanuzi makubwa bila kuona uchungu wa pesa za walipa kodi!?

Nani amekwambia waziri halipi kodi? Au mbunge halipi kodi?
 
Kila mtu ana matumizi yake, haiwezekani kuchangia mita moja na mtu anayechomelea mageti wakati wewe una friji tuu.
Hapo sasa itakuwa ni jengo la biashara na kodi ya jengo la biashara ni kubwa. Hivyo kuwa na meter za luku nyingi na kulipa zaidi ni sawa.
 
Kwa sisi tunaoishi mitaani Kuna nyumba za kawaida tuu Ila Kuna mafundi wanajitafutia riziki zao kwa kufanya uchomeleaji. Halafu nyumba Ina wapangaji wa kawaida tuu. Kuchangia mita moja Ni shida.
 
Back
Top Bottom