TRA na TANESCO wanajua kwamba Nyumba ni chache kuliko idadi ya mita za Luku?

Mtoa mada ni kilaza na hajafatilia hizo kodi, alichojua yy ni kuamka na kupost ushuzi. Yaan wewe mpumbavu ujue kuwa kuwa kuna mita nyingi za Luku alafu watu wanaodrive nchi wasijue?
Mkuu, ungelimaza kwanza kufanywa...halafu ndio ukasoma na kisha ukachangi, sikulaumu kwa sababu umekali...a
 
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku

Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia

Na pia ninahakika, Sheria waliyokuwa wameitunga kwa ajili wamiliki wa majengo kulipia majengo yao, inaipa ugumu serikali kuwabana wamiliki hao kwa sababu wengi wa wamiliki wa majengo makubwa na yanayotakiwa kulipiwa kodi kubwa, ni haohao walioko serikalini

Ninayohakika pia kwamba, hata ukifuatilia wadaiwa sugu wa kodi ya majengo, utawakuta ni viongozi wa serikali wenye majengo mengi na makubwa yanayolipiwa kodi kubwa

Sasa basi, Serikali inapokuja na mfumo huu mpya wa kila luku itumike kulipia kodi ya jengo, ninahakika kuwa, huu ni mpango wa kinyonyaji na wizi wa wawazi kwa wasio wamiliki wa majengo hayo yaani kodi hii maana yake imeelekezwa kwa walala hoi tena bila huruma

Kwa sababu hiyo, Serikali kupitia TRA na Tanesco, Je wanajua kuwa jengo moja linaweza kuwa na mita no zaidi ya 10?

Je, katika kulipia Jengo moja lenye mita zaidi ya 1, Serikali inaweka mfumo gani kwa nyumba zenye mita zaidi ya moja? au kila mita inahesabika na Jengo lake?

Kama itakuwa kila mita inahesabika iko kwenye jengo linalojitegemea! basi huu utakuwa ni wizi wa Serikali kwa wananchi wake!
Hayo yanazungumzika, la muhimu TULIPE KODI. ACHENI KULALAMIKA.

Wakati wamiliki wa nyumba walipokuwa wanakwepa kulpa kodi za nyumba zao mlikaa kimya, hata sikuwasikia mkiwapigia kelele hapa JF. Leo ujanja hawana ndio mnapiga debe mpaka chuma kipasuke. Ujumba makini TULIPE KODI ILI YALE MADARASA YA UDONGO MNAYOYAONYESHA HAPA WAKATI WA UCHAGUZI YAKAJENGWE. TULIPE KODI, KODI, KODI.............
 
Hivi kwa nini huwa mnapenda kukwepa hoja? umeona nani anakataa kulipa kodi? swali ni kwamba, nyumba zingine zina mita namba zaidi ya moja, Je, kunautaratibu upi wa kufanya ili zote hizo zitumike kulipia nyumba ileile moja?

Acha drama umekuwa sasa!
 
Mwenye nyumba akaripoti TANESCO ni mita ipi anataka ikatwe buku moja kwa mwezi.

Njia nyingine akalipe 12000 kwa mpigo, hakuna mita itakatwa hata senti tano. Nafikiri umenipata.

Tulipeni KODO, KODI, KODI kwa faida ya afya zetu na elimu za watoto wetu. Mwanachi lipa KODI, KODI, KODI....
 
Hivi kwa nini huwa mnapenda kukwepa hoja? umeona nani anakataa kulipa kodi? swali ni kwamba, nyumba zingine zina mita namba zaidi ya moja, Je, kunautaratibu upi wa kufanya ili zote hizo zitumike kulipia nyumba ileile moja?

Acha drama umekuwa sasa!
Wewe fala, kabla ya kukurupukia hapa ungeuliza kwanza sio unakuja na hoja as if unajua lolote.
We unadhani watu hawajui hizo mita? Ulivyoambiwa mfike ofisi za tra kuleta taarifa za hizo mita ulikuwa unapakatwa?
 
Adabu yako ni ndogo saa, na umri wako ulivyokutupa mkono, hakuna wa kukufunda tena kuheshimu watu, vinginevyo wewe mwenyewe uamue kubadirika, la sivyo, utaendelea kuwa wa hovyo hivyohivyo, alo kwambia kila mtu unaweza kumfokea ni nani?
 
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku

Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia

Na pia ninahakika, Sheria waliyokuwa wameitunga kwa ajili wamiliki wa majengo kulipia majengo yao, inaipa ugumu serikali kuwabana wamiliki hao kwa sababu wengi wa wamiliki wa majengo makubwa na yanayotakiwa kulipiwa kodi kubwa, ni haohao walioko serikalini

Ninayohakika pia kwamba, hata ukifuatilia wadaiwa sugu wa kodi ya majengo, utawakuta ni viongozi wa serikali wenye majengo mengi na makubwa yanayolipiwa kodi kubwa

Sasa basi, Serikali inapokuja na mfumo huu mpya wa kila luku itumike kulipia kodi ya jengo, ninahakika kuwa, huu ni mpango wa kinyonyaji na wizi wa wawazi kwa wasio wamiliki wa majengo hayo yaani kodi hii maana yake imeelekezwa kwa walala hoi tena bila huruma

Kwa sababu hiyo, Serikali kupitia TRA na Tanesco, Je wanajua kuwa jengo moja linaweza kuwa na mita no zaidi ya 10?

Je, katika kulipia Jengo moja lenye mita zaidi ya 1, Serikali inaweka mfumo gani kwa nyumba zenye mita zaidi ya moja? au kila mita inahesabika na Jengo lake?

Kama itakuwa kila mita inahesabika iko kwenye jengo linalojitegemea! basi huu utakuwa ni wizi wa Serikali kwa wananchi wake!
Kwa kifupi sana, wamefikiri nje ya uwezo wao wa kufikiri, otherwise DNA zao sio watz, hizi ni elements za nchi jirani kabisaa bila shaka.
 
TRA wanapaswa kutoa ufafanuzi wa huu utaratibu mpya wa kulipia kodi ya majengo. Kwa wenye biashara, baadhi kodi ya majengo kwa mwaka huu 21/22 imeishalipwa wakati wa kufanyiwa uthamini wa biashara zao na kupata Tax clearance.

Tangazo la TRA linaonyesha kuwa utaratibu mpya wa malipo ya kodi ya majengo kupitia Luku, unaanza tarehe 20/08/2021. Je waliokwisha lipia kodi hii kwa mwaka mzima ina maana wakinunua umeme wanalipia kodi tena?.... Huu mbona ni wizi katika jina la Serikali?.
Unachaganya madesa mfanyabiashara anacholipa TRA sio Kodi ya majengo ile inaitwa rental fees (ada ya ukodishaji) ndo maana uwa lazima uende na mkataba wa Kodi ya chumba ulichopangishwa hii kodi anaelipa ni wewe mpangaji na mwenye nyumba mnagawana kulipa. Japo kwa wenye nyumba imekuwa changamoto so Mara nyingi mpangaji anaishia kulipa yeye mwenye Ila tambua sio Kodi ya jengo ulilipia
 
Hivi na Zanzibar huu utitiri wa kodi upo?
 
Unachaganya madesa mfanyabiashara anacholipa TRA sio Kodi ya majengo ile inaitwa rental fees (ada ya ukodishaji) ndo maana uwa lazima uende na mkataba wa Kodi ya chumba ulichopangishwa hii kodi anaelipa ni wewe mpangaji na mwenye nyumba mnagawana kulipa. Japo kwa wenye nyumba imekuwa changamoto so Mara nyingi mpangaji anaishia kulipa yeye mwenye Ila tambua sio Kodi ya jengo ulilipia
Mimi ndiyo mmiliki wa majengo ninayotumia kufanya biashara na ninalipa kodi ya majengo kila mwaka na risiti ninazo za miaka kadhaa...... Unaongelea mikataba na kupangishana tena?.:oops:
 
Back
Top Bottom