TRA na FIRE HUU WIZI SASA.

kunyala

Member
Apr 11, 2013
76
18
Jamani kuna hili swala la kulipia road licence za magari na fire extinguisher.kama gari inalipiwa 200,000.unaongeza na 30,000.hizi fedha jamaa wanachukua na kifaa cha kuzimia moto hawakupi na ukikutana na jamaa wa Fire ni tabu tena wanataka kuona kifaa na kama umenunua kienyeji unalipa fine.huu si wizi jamani?
 
Shkamooo habari ya asubuhi! Ndo unaamka? 2015 isi jasti araundi dhe kona.wi wanti to wini dhisi eleksheni. We veri siriazi!
 
Shkamooo habari ya asubuhi! Ndo unaamka? 2015 isi jasti araundi dhe kona.wi wanti to wini dhisi eleksheni. We veri siriazi!

kwa iyo mkishinda 2015 mtu akilipia iyo 30 elfu ya nyongeza anaondoka na tungi la Fire exitingusher?
 
hata mimi wamenila nimelipishwa faya ya miaka mitatu iliyopita wakati utaratipu wa kulipia faya tra umeanza mwaka jana. hawa jamaa ni majambazi wakubwa
 
kwa iyo mkishinda 2015 mtu akilipia iyo 30 elfu ya nyongeza anaondoka na tungi la Fire exitingusher?
nadhani vitu ambavyo vitarekebishwa kwa kuwa hakuna logic mtu unalipa kitu risiti wala mali yenyewe hupati....duj tz noumah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom