TRA na CHADEMA huku wakiacha mibilioni ya pesa yakipotea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA na CHADEMA huku wakiacha mibilioni ya pesa yakipotea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 25, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hivi hawa TRA vichwa vinafanya kazi kweli

  wao wamekalia kutumwa kuwasakama CHADEMA huku wakiacha mapesa ya walipa kodi wanyonge watanzania pesa zao zinapotea kwa mafisadi

  kama hili hapa ebu oneni wadau

  Tanzania has lost 500bn/- over the sale of Zain Africa to Bharti Airtel of India through tax avoidance.

  The big question is, how could the Tanzania Revenue Authority (TRA) Director General, Harry Kitilya, say Tanzanian assets did not change hands to necessitate taxation?, Why has it taken TRA so long to determine that Tanzania Income Act is weak compared to Nigerian, yet the said 60 percent shares have shifted hands several times?


  lakini kwa CHADEMA wamechukuwa siku 5 kila kitu wamefuatilia,ila kwa hayo mabilioni ya pesa hadi leo hakija eleweka

  TRA badilikeni na fanyeni kazi kwa maslahi ya Taifa Sio kutumwa kwa maslahi ya wachache
   
Loading...