TRA /Mwigulu kodi hizi mmekusanya?

namtumbo

Member
Aug 30, 2011
78
150
Kwenye kila tukio yapo mafunzo ambayo wananchi tunayapata....hili la ESCROW moja ya mafunzo muhimu tuliyopata ni uwepo wa fursa za Serikali kukusanya kodi ili zisaidie ujenzi wa Taifa. Kumbe wabunge wetu siku zote kwenye vipindi vya bajeti huibana Serikali ifute misaa ya kodi ya taasisi nyeti zinazotoa huduma za jamii n.k ili kuongeza mapato, kumbe kuna sehemu nyingine ambazo zina kodi ya wazi kabisa isiyosamehewa haikusanywi. Hapa ndipo Serikali inapaswa kuanzia. Kauli ya Mwigulu Nchemba ya kuhakikisha kodi zetu zote zinakusanywa ni ya kuungwa mkono na tunasubiria matokeo yake ifikapo tarehe 30 Desemba. Lakini asiishie kwenye Escrow, aendele mbali zaidi kuangalia transaction kubwa zote zilizowahi kufanyika nchini zimelipiwa kodi yote? Ipo ile ya Ophir Gas kuuza hisa zao kwa shilingi trilioni 2 na zaidi....vile vile zipo za Vodacom zilizotolewa kwenye media siku za karibuni.....zimelipiwa kodi?

Rostam offloads Vodacom equity for a cool Sh387 billion (source Citizen)

Dar es Salaam. Cavalry Holdings, the Jersey island-registered company that owned a 35 per cent stake in Vodacom Tanzania, has sold 17.2 per cent shares in a transaction worth $242 million (Sh387 billion).


If approved by the South African Reserve Bank, the deal would increase Vodacom Group’s shares from the current 65 per cent to 82.2 per cent.


According to details obtained by the Citizen yesterday, Vodacom Group purchased the shares from Cavalry Holdings that owned a 35 per cent stake in Vodacom Tanzania through Mirambo Limited.


The deal will see Cavalry Holdings pocket $242 million (Sh387 billion).


Registered in Jersey Islands, Cavalry is a private investment company.


Sourced close to Mirambo Holdings confirmed the deal yesterday, saying the money would be injected into the holding company to re-capitalise the business and settle debts owed to the Vodacom Group.


“It is true that the deal has taken place. It is a subscription for new equity to be injected into Cavalry,” the source said.


The South Africa-based Vodacom Group’s shareholding prior to the deal, which was transacted on Tuesday, was 65 per cent. The new stake would increase its shareholding to 82.2 per cent.


The statement issued by the Johannesburg Stock Exchange-listed Telecoms giant further said the acquisition of the 17.2 per cent stake would be done through subscription and give the group indirect ownership of the shares.


The transaction is expected to close before the end of the financial year.


Mirambo Limited, which is owned by Tanzanian businessman Rostam Aziz, will retain its shareholding in Vodacom Tanzania at 17.8 per cent.


“Vodacom Tanzania has been Vodacom’s most successful investment outside of South Africa to date,” the JSE-listed company said in a statement.

 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,516
2,000
Hii pesa ya hapa itakuwa imeliwa na Laghai mwigulu ambaye huwa ni Ndumila kuwili, Pesa iliyapaswa kulipa Kodi hapa ingewaza kununua madawa kwa mda wa zaidi ya miaka kumi.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,516
2,000
Wapi Kafulila, wapi Sendeka wapi Zito na filiponjombe? Hii kodi hapa Mlipozwa msipaze sauti? Nchi hii kuna Vioja sana hivi inakuaje kampuni kubwa inauzwa na Mtu anakwepa kodi kisha anaondoka kiulaini na kwenda Dubai, Watumiaji wa simu wanakatwa tshs 1000 ya SIM card na kulipia kodi, lakini kumbe pesa za walipa kodi za Simu zinaliwa na Wajanja? January Makamba mwasisi wa kata Tshs 1000 kodi ya simu jiandae pia mwambie Shemeji yako Rostam Azizi ajiandae kazi inaanza lazima mlipe kodi.
 

kinauche

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
7,681
2,000
Baada ya kupata taarifa hizi labda watafuatilia. Jamani Mwigulu siyo laghai. Nasikia kaokoka. Kama ni kweli ieleweke kuwa Mungu kamsanehe dhambi zake. Ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya.
 

namtumbo

Member
Aug 30, 2011
78
150
Baada ya kupata taarifa hizi labda watafuatilia. Jamani Mwigulu siyo laghai. Nasikia kaokoka. Kama ni kweli ieleweke kuwa Mungu kamsanehe dhambi zake. Ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya.

Ni muhimu wakafuatilia sio hizi tu, bali transaction nyingine nyingi tu zinazofanyika nchini hasa kwenye sekta ya madini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom