Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Mimi ni mfanyakaz wa taasisi binafsi nilipewa mkataba wa mwaka mmoja wq kaz Na gratuity yangu in asilimia 12% ya mshahara wangu.
Katika kipind cha miez sita ya mwanzo nilikua nakatwa kodi kawaida P.A.Y.E ila
Ilipofika mwez wa 6 yaan katikati ya mkataba bosi wangu aliniongezea mshahara na toka apo sikuwa nakatwa kod Na ile ela ilikua inaingia kwenye account.
Sikuweza kulitambua ili kwa urahisi ila muhasibu ananipa check ya gratuity yangu ananiambia TRA wamekata kodi ya miez 6 ambayo haikukatwa.
Pia ifahamike kabla ya kuajiriwa nikiwa katika probation nilikua nakatwa kodi kitu ambacho siyo sahihi.
Je TRA wanaruusiwa kisheria kukata kodi kwa Mara moja kwenye gratuity ya mtu au muhasibu kanipiga chenga?
Kwann muhasibu aniadhibu kwa uzembe wake maana sikukwepa kodi yeye alishindwa kupelek?
Je TRA kisheria wanaruusiwa kunionyesha makato ya kodi yangu toka nilipoajiriwa?