mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,803 105,956 Jun 30, 2020 #1 Watu wamekuja kulipia kodi za majengo. Muda tu mtandao umeelemewa Wateja wame stuck naona hii ngoma kurudi mpaka Jioni. Uzi tayari Ova
Watu wamekuja kulipia kodi za majengo. Muda tu mtandao umeelemewa Wateja wame stuck naona hii ngoma kurudi mpaka Jioni. Uzi tayari Ova
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 34,668 40,914 Jun 30, 2020 #2 Poleni sana, na hongereni kwa kuchangia pato la Taifa.
Ncha Kali JF-Expert Member Sep 19, 2019 14,497 26,986 Jun 30, 2020 #3 Leo siku ya mwisho basi ndo mmejazana wote, kuweni wapole tu!
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,803 105,956 Jul 1, 2020 Thread starter #4 Ncha Kali said: Leo siku ya mwisho basi ndo mmejazana wote, kuweni wapole tu! Click to expand... Inasemekana wiki nyuma mtandao unazingua Leo Kuna mtu nlimtumia pia Hali iko vile vile Ila najua ni style ya kuwaingiza watu kwenye penalty kwa nguvu Ova
Ncha Kali said: Leo siku ya mwisho basi ndo mmejazana wote, kuweni wapole tu! Click to expand... Inasemekana wiki nyuma mtandao unazingua Leo Kuna mtu nlimtumia pia Hali iko vile vile Ila najua ni style ya kuwaingiza watu kwenye penalty kwa nguvu Ova