MGOGO27
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 459
- 217
Watu wanashindwa kufanya biashara kiharari kwakuwa Kodi kero zipo nyingi sana wakitaka watu watumie bandari zetu au kufungua viwanda ni lazima SHERIA zitungwe bora na rafiki kwa wazawa na wafanyabiashara wetu,kama sio hivyo mtakamata sana watu maana wakale wapi?