nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,513
- 19,997
yani huyo mdada huwa akili inafanana na wema sepetu au pengine ni yeyeAisee umeandika ukiwa unagegedwa au?
yani huyo mdada huwa akili inafanana na wema sepetu au pengine ni yeyeAisee umeandika ukiwa unagegedwa au?
Si hawa hawa tra waliokokotoa deni la TRILIONI 450 kuwa tunawadai acacia/barick?
anawaelekeza cha kufanya,kiki-backfire anawakataa mubashara!!Ndio ujue huyu baba hakawii kuwaruka wenzie kwa kutafuta sifa peke yake
Swala sio mfumo bali watendaji wanafanya kazi kwa mazoea sana ndo maana Rais anakuwa mkali. Sheria za kodi mbona zipo wazi iweje mtu amkadarie pasipo kufuata sheria inavyoelekezaMimi ni muumini wa kuamini Matokeo ya Jambo flani lililofanyika ,hivyo nnasubiria Matokeo ya hatua alizo chukua huyu Mkuu wa Nchi kama nilivyo kwisha kuyaona ya kina Bade/ Mpango/Kidata/Kichere na sasa Edwin..
Nikukumbushe tu kuwa ,Mfumo ulioshindwa kutoa Matokeo flani haufai kuendelea kuwepo au kutumika.
Hizi ni Taasisi nyeti sio za kukurupa ukiona Rais anafanya maamuzi ujue kajiridhisha vya kutoshaRais mwenyewe ni kama anatuzunguka tu na kujifanya mzalendo ina mana alikuwa haoni au hasikii habari kila siku zinatangazwa kuwa biashara zinafungwa yeye yupo kimya mpaka mapato sasa yanashuk ndo anachukua hatua ili kuendelea kudumisha dhana ya uzalendo
Mpaka sasa hatuoni rais akitoa tamko lolote kuhusu CAG pesa inapigwa watanzania tuamke
yani huyo mdada huwa akili inafanana na wema sepetu au pengine ni yeye
Chadema tukipiga kampeni mnatuletea maaskari nyinyi mnapigia IkuluTUELEKEACHO 2020
Mku ktk teuzi zote Rais bado hajapata bahati nisema kama sio Waziri Mkuu ,Jafo,Makamba ,Lukuvi hawa wanambeba sana la sivyo serikali ingezidi kupwaya.
Mfano mzuri ni pale Waziri wa mambo ya nje anapomshukuru Rais kwa kwenda kutafuta solo la mahindi na biashara nyingine Zimbabwe na Namibia sasa sijui kazi yake Waziri nini zaidi kwenda kutafuta fursa huko nje.
Mkuu, siyo vizuri lakini..!Aisee umeandika ukiwa unagegedwa au?
Wakashangiliwa na Mapopoma!?Si hawa hawa tra waliokokotoa deni la TRILIONI 450 kuwa tunawadai acacia/barick?
Ulimsikiliza vizuri jana Waziri wa Fedha mapendekezo aliyoyatoa jana?nini Tafsiri ya Rais kuitisha kikao na wadau wote wa biashara jana?Waziri alisema pamoja na kero zote hizo walizotoa wafanyabiashara lakini pia inabidi wazipitie upya sheria zote za kodi Nchini ili kuleta tija kwa pande zoteKodi ni process. ..kwa sheria hizi zilizopo zikifuatwa vilivyo hakuna duka au biashara yeyote itaendelea kuwepo
Mkuu umeeleza kilio Cha watanzania ambacho wahusika hawaoni umuhimu wake wakati wanataka rushwa ikomeRushwa kwa wafanya kazi TRA ni janga. Na kumtafuta asie kula rushwa ndani ya TRA ni sawa na kutafuta bikira wodi ya wazazi. Vijana wana taka utajiri wa haraka. Sheria ya kodi itoe jedwali la kodi la kueleweka kwa kila biashara.
Sheria za kodi zifanyiwe marekebisho na elimu ya kodi itolewe kwa kila ngazi ya elimu.mfanyabiashara yeye yupo kwa ajili ya profit maximization hata kama akaambiwa alipe elfu tano kwake itakua bado ni kubwa.Ulimsikiliza vizuri jana Waziri wa Fedha mapendekezo aliyoyatoa jana?nini Tafsiri ya Rais kuitisha kikao na wadau wote wa biashara jana?Waziri alisema pamoja na kero zote hizo walizotoa wafanyabiashara lakini pia inabidi wazipitie upya sheria zote za kodi Nchini ili kuleta tija kwa pande zote
Naunga mkono kwa 100%, mchango wako, uliyouasema ni kweli kabisa. Thanks mkuu
Toka hii Taasisi ilipovunjwa na kuundwa upya kuwa Malmaka ya Mapato Tanzania tumeona mazuri yake lakini pia tumeona tatizo kubwa.
Pamoja na kwamba wamekuwa wakikusanya mapato vizuri lakini TRA imekuwa ikilalamikiwa sana wafanya biashara Nchini
Karibu asilimia kubwa ya wafanyakazi wa hii Mamlaka wamekuwa sio waaminifu kabisa,Wamekuwa wakiomba rushwa kwa wafanya biashara au kuwakadiria mapato makubwa pindi wasipopewa rushwa
Tumeona baadhi ya wafanya biashara wakifunga maduka au biashara zao kisa hawa wafanyakazi ambao sio waaminifu
Kwa mara ya kwanza tunaona Rais Magufuli akiifumua zaidi ya mara mbili pindi kunako bainika jambo au utendaji mbovu na Serikali kukosa mapato stahiki
Natumai sasa wafanyabiashara wote watakuwa wanatoa ushirikiano kwa Serikali ili hawa wafanyakazi wanaochafua taswira ya hii Taasisi waondoke
Rais Magufuli watanzania na hasa wafanya biashara wanaimani kubwa nawe pia hatujafanya makosa kukuchagua wewe na zaidi 2020 hatutafanya makosa tena.
#JPM KIOO TUELEKEACHO 2020
Alex Fredrick
afredrick59@gmail.com
View attachment 1121530
Ndugu yangu Mkwaruu, kuna wakati tunafanya siasa kwa manufaa za kichama na wakati siasa kwa manufaa ya Taifa.Mku Mkirindi haya yafichiki kwani kila ukiangalia mambo hayaendi vizuri ninaamini hawa wateuliwa kujitahidi kujituma ili mambo yaonekana .
Ebu niambie mambo yalivyo kwa sasa na huu uchaguzi Mkuu tutawambia nini Watanzania kwani imefika mahali viongozi wakuu wa chama Bashitu na Polepole wameamua kukaa kimya baada mambo yalivyo kwani RAIA ndio wanaolia hali ya Nchi ilivyo kwa sasa.
Japo ni muda mfupi uliobakia Rais ajitahidi kujishusha kwa watendaji wake ili kuwa nao karibu kwa kuwaambia nini anataka kifanyike ili tuondoke hapa tulipo na maisha yaendelee kwani ukali sana utamkosesha mengi mazuri kutoka kwa hao watendaji wake.