TRA Keko Bora: Mtumishi wa ku print Tin Number Hayupo kazini wiki sasa

philos

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
216
333
Mtumishi wa ku print Tin Number tokea wiki jana na wiki hii hayupo kazini wateja tunahangaika na hatuna msaada wowote.Njoo kesho ndio jibu tunalopewa!

update:
Leo tar 12/6 huduma imerejeshwa na nimepata Tin Number na kulipa kodi ya serikali. Asanteni sana!
 
Hivi meneja wa pale bado no yule mzee wa kimasai au Kesha retire?
Ukifika pale panda ngazi nenda kwa meneja umuambie unataka kulipa kodi. Walah atashuka mwenyewe kukuprintia. TRA ni watumishi wetu msiwaogope hasa zama hizi. In case hujaipata Leo ingia PM nimpigie kamishna mpya halafu uwepo maeneo yale yale uone nguvu ya simu
 
Wewe mpigie mimi nakwenda pale wiki ya pili sasa na hata leo nimetoka pale.
 
TRA kubadilika ni ngumu sana.NAKUSHAURI RAIS MUWEKE CHARLES KIMEI pale awe commissioner mpe mshahara hata wa 50m kwa mwezi.Abadilishe taasisi hiyo.Vinginevyo weka mzungu M sweden au mFinland au Mdenmark
 
Huyo unyempendekeza apewe uongozi nenda pale alikotoka usikie madudu yake,watu walikuwa wanajilipa ada za kusomesha watoto shule while watoto wenyewe wameajiriwa,hizo hela za kununulia luku majumbani mwao walizokuwa wanajilipa kila mwisho wa mwezi ukizisikia hilo domo lako litabaki wazi milele!,usilolijua ni kama usiku wa kiza ndugu.
 
Bora umeongea
 
Back
Top Bottom