prospa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 554
- 156
heshima mbele wakuu,
kwanza natanguliza shukran kwa Mwenyez Mungu mwingi wa Rehema, sasa wakuu hili jukwaa nadhan lipo kwa ajili ya kusaidiana kwa sisi vijana wa kitanzania ili kuepukana na hizi njaa na umasikini kuna kainterview vijana wengi tumeitwa huko TRA for written , sasa wanajamvi hebu tusaidiane kama kuna mwenye uelewa wa hizi vitu hata kama una masample ya interview zao tudondoshee mmoja wetu akipata kutoka humu jamvini inakuwa ni ushindi wetu sote,
hata kwa wale ambao hawajaitwa tusiumie mioyo tuendelee kukaza na Kumuomba Suba hana ipo day mambo yatakaa tu.
Naomba kuwasilisha hoja.