TRA interviews / written

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
heshima mbele wakuu,

kwanza natanguliza shukran kwa Mwenyez Mungu mwingi wa Rehema, sasa wakuu hili jukwaa nadhan lipo kwa ajili ya kusaidiana kwa sisi vijana wa kitanzania ili kuepukana na hizi njaa na umasikini kuna kainterview vijana wengi tumeitwa huko TRA for written , sasa wanajamvi hebu tusaidiane kama kuna mwenye uelewa wa hizi vitu hata kama una masample ya interview zao tudondoshee mmoja wetu akipata kutoka humu jamvini inakuwa ni ushindi wetu sote,

hata kwa wale ambao hawajaitwa tusiumie mioyo tuendelee kukaza na Kumuomba Suba hana ipo day mambo yatakaa tu.

Naomba kuwasilisha hoja.
 

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,326
2,000
haaaa naskia mmeitwa zaidi ya uhamiaji ,ngoja niandae kamera niwapige picha maana mnaenda kuvunja rekodi ya usahili wa uhamiaji
jiamini unaweza Mungu atakusaidia,ukianza kudai upewe hints mapema hiii utafelii mkuu,wewe jifanye kama unacheza kamali vile kuna kupata na kukosa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom